Sasa ww unachezea biashara za watu ulitegemea nn?!
Unadhani watu wote wanataka upuuzi km wewe
Usimwamini sana mtu!!!
Kwa nn ufanye utani?
Huyo pepo mkemee utaaibika mkuuHata sijui niingiwa na pepo gani?
una takwimu?Nimepata somo kubwa sana.
Ila kiukweli vyuma vimekaza sawa sawa
una takwimu?
Kuwa na whatsapp mbili na dp unaweka kwenye whatsapp akaunti ambayo watu unaoheshimiana nao wana hiyo namba.
Na usisave namba yake, seti namba ulizosave tu ndiyo ziweze kuona dp yako.
Acha kutumia jina halisi kwenye mitandao ya kijamii.
Mke, mpenzi, mashemeji, familia, watu unaowaheshimu wasiwe marafiki zako kwenye social media.
Grupu kwa malipo, 3000.
Anaweza pia kukuitia mwizi ukapigwa mawe mpaka ukafa yeye huyooo akahepaMalaya yoyote yule hana tofauti na teja
kanuni yao kuu nimshipa wa aibu kukatika
Malaya anaweza kukujazia watu kisa umempa hela ambayo hajaridhika nayo ikawa aibu kwako nasio kwake tena..nimeshawahi kushuhudia adamu mchomvu akidhalilishwa asubuhi pale Mk. .hahaa akakimbilia kwenye bajaji nakumwambia dereva aondoke..ilikuwa kama miaka mi4 iliyopita Hivi..muwe mnatuulizaga sio mnakurupuk tu
ukiona mpka mwanamke ameamua kuuza papa jua kuwa huyo hata shetani anamuogopa
Hii ni hatari sana na kweli inawezekanaAnaweza pia kukuitia mwizi ukapigwa mawe mpaka ukafa yeye huyooo akahepa