Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 2,372
- 4,828
Niliwahi kukaa na demu miaka miwili pamoja, nilipoona yamezidi nikaacha check mezani ya rent iliyobakia ,niliondoka na kumwachia kila kitu mpaka boxer, niliondoka na wallet na vyeti vyangu tuu, best decison ever, dawa ya haya mambo ukishajaribu kuweka mambo sawa kidiplomasia na yakashindikana ondoka tuu,kama kuna watoto au mali ajiri lawyer mmalizane, kuendelea kukaa ni maumivu pande zote