Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Hivi hukujiuliza mkeo anakupaga nini nakipi kpya unachokifuata kwa huyo malaya
 
hahahaha halafu umeoa?
 
Ningewaambia Kavukavu Wala Nisingevunga. "Jamani Naomba Nikamtom*e Mwenzenu Kama Tulivyokubaliana, Kama Hamtaki Kumuacha Nanyie Nikawafyatue Wote". Povu Liwatoke Ila Kama Mbwai Mbwai.
 
Mnahangaikaga nini na hao wapita njia, ukitulia na mkeo hizo sehemu zako za siri zitawaka moto?Angalia sasa yalokukuta hela umeliwa na ulichotaka hujapata.Hili liwe somo kwako ridhika na uyo ulie nae ndani(mabucha yote nyama na ile ile jifunze tu kuiandaa kwa ustadi).
 
Hapana nyama ya kuku, ya nguruwe, ya mbuzi, ya ngombe n.k zote zinatofautiana[
Huyu mkwew hamtoshelezy ndo maana kajeukia kwa nyapu nyingine halafu ujue kula mchicha siku zote unachosha.
 
Daah baby naona umekomaa,nani kakupa hayo maelimu?,ona sasa eti sabuni zingekoma,haya basi acha nichapiwe tu

Agynasa bhana na jisi unavyokodoa macho,ati ukome.
ha ha ha tena siku hizi nimejua weekend ukitoka ukarudi unanilazimisha mzigo nakubania
 
Ningewaambia Kavukavu Wala Nisingevunga. "Jamani Naomba Nikamtom*e Mwenzenu Kama Tulivyokubaliana, Kama Hamtaki Kumuacha Nanyie Nikawafyatue Wote". Povu Liwatoke Ila Kama Mbwai Mbwai.
Hahahaaaa!! Daaah!
 
Si bora hata wangekuwa wanajifunza sasa!! Subiri thread nyingine either ya mchepuko mwingine au wa huyo huyo atakapofanikiwa.
 
Ningewaambia Kavukavu Wala Nisingevunga. "Jamani Naomba Nikamtom*e Mwenzenu Kama Tulivyokubaliana, Kama Hamtaki Kumuacha Nanyie Nikawafyatue Wote". Povu Liwatoke Ila Kama Mbwai Mbwai.
Hahahhha
 
Wajinga ndio wanaoliwa.
 
Teh Teh Teh jamani wanaume akili zenu mnaziweza wenyewe. Hasa pale kichwa cha chini kinapofanya kazi
 
Si bora hata wangekuwa wanajifunza sasa!! Subiri thread nyingine either ya mchepuko mwingine au wa huyo huyo atakapofanikiwa.
Yani inabidi hawa waume zetu tuwe tunawaka tu kwenye maombi.Manake bila kumshirikisha Mungu unaeza pata kichaa cha ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…