pole sana brazaWadau wa MMU habari zenu
Yaliyonikuta wikiendi hii ilikuwa zaidi ya majanga.
Niliwaza iwe siri yangu lakini nimeona acha nishee na nyie
Muwe washuhuda!shuka nayo hiyo
Kama desturi ndani ya jumamosi
Kidume nimeweka miadi na mtoto
Wa chuo flani hivi sista duu wa nguvu.baada kumgharamia kabla sijala mzigo nikaona sasa huu ndo wakati muafaka wa kula kinono ili kurudisha hata chenji zangu!
Mtoto akasomeka vizuri ila kwa masharti hatakaa sana.sikuona tabu nikamwambia achukue taxi afike hapa.me nishalipia chumba 40,000 nimekaa sehemu ya bar nashusha bapa langu la konyagi
Nikaona haitoshi nikameza na kiagra kimoja ili nije kurudisha gharama hata nusu!
Akanipigia simu kafika nikalipa tax 5000 ajabu kuchungulia nyuma ya taxi kuna sista duu zingine mbili
Mara zikashuka jumla wakawa watatu!nikahisi kijasho chembamba kinashuka maskio yakawa yamoto kwa hasira.
Ila nikajikausha tukakaa wakaletewa menyu yaani walimaliza elf90 pale ikabidi nikatoe mpesa ila nikawa na imani
Kwamba wataondoka waniachie huyo mwenzao nikamshughulishe
Maana hapo hali ilishakuwa tete!
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.eti wote mwishoe wananiaga huku wananibusu kwamba wanaenda kwenye birthday ya rafiki yao!
Nikawaitia taxi tena nikalipia
Yaani laki na nusu iliishia pale mzigo sijapewa nikarudi homu kumbeleleza tu wife anipooze ilikuwa hakuna namna!
We sista duu popote ulipo kama unasoma hii siku ukiingia anga zangu ukanipa takula viagra3 na
Nitakula hadi KABANG!
falarungu???Mkuu sio stic tuu na rungu humo humo!!
Hivi Miss Natafuta wewe ni mwanaume wa mkoa gani?kumbe haya matangazo ya dawa za kiume mjini ni ya kweli ? kumbe wateja wapo
kumbe wanaume wa dar hadi wawe na kisaidizi ??????????
MIMI NI JIMAMA LA HATAREHivi Miss Natafuta wewe ni mwanaume wa mkoa gani?
Lazima tu utakuwa unatoka Lamu, yaani dume zima kujiita Miss ndio tabia gani kama sio ushoga?
ndiyo mkuuKumbe una roho mbaya namna hiyo!!? Duuuh!!
Ningetoka na familia yangu hata laki isingeisha
Lakini mbele ya chapaaa unakuwa mpole[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ndiyo mkuu
Waliooa wanahangaika....yaani mimi huyo ningemuita geto kiulaiiini kama kukata siagi na kisu cha moto!umalaya tuu!
wavulana mnashida saana!
mwanaume hawezi vumilia mapuuza kama hayo, kwanza inaonekana hata hukumtarifu juu ya hilo swala lako we ukafikiri nikuvuta mkono tu pesa ziongee!
madomo zege wa Dar es salaam mnatuaibisha
Na asirudie tena, tamaa tuha hah aha basi raha .. kumbe mzigo unao home ila unataka vya mtaani koma
Aisee kumbe maisha bado mazuri kwa wengine150,000 usawa huu inauma sana aisee
acha tu mkuu hii dunia tuko tofaut sana aiseeAisee kumbe maisha bado mazuri kwa wengine
Bora tu maana wife at least alipata weekend ya uhakika! Mungu huwasaidia viumbe wake kwa namna tofauti tofauti... wife weekend yake ilienda safiii kabisa kwa kutimiziwa hitaji muhimu la ndoa kwa wakati wake. Pengine alikuwa anaomba Mungu kila kukicha juu ya show zako za kijogoo jogoo na Mungu akamjibu kwa njia ya ajabu.
Prays the Lord......