Mkasa..Nahitaji ushauri

Mkasa..Nahitaji ushauri

mm ni kijana ambae mtanashati,mcheshi nilikua na msichana wngu ambaye anaitwa glory first time nilimuona church coz nina sali naye nikajaribu kumuomba namba yke alinipa tukawa tunawasiliana kila siku nikamuapproach nashukuru akanielewa akawa she is ma gal tukaendelea kuwasiliana siku moja aliniomba tuonane but mm nilikua busy sana nikamuomba radhi akanielewa but cha ajabu tokea mwezi wa tano mpaka leo hii namba yke haipatikani nikikutana nae church ananikimbia kimbia Nilitamani nipate muda kuongea nae nashukuru last sunday nilimuona nikamfuata nikamsimamisha cha ajabu nimemsalimia yy alikaa kimya na akaamua kuondoka zake nilipomuita akuitika aliendelea kuondoka sasa sijajua tatizo nn mpaka sasa.nipebu ushauri niendelee kumfuata au niachane naye?

Kati ya mikasa ya huu ni mkasa???
 
Si vyote uvionavyo ni dhahabu vingine vyuma
 
Nilikimbia facebook nkaja huku napo mambo yale yale...na huku itabidi nifikirie
 
mkuu unapoandika tumia ivi vitu (. ,) maana hadi pumzi inaisha..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom