Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

Mkuu wangu na wewe kaa huijui Bongo. Wakachimbue kaburi ili iweje?
uchimbuzi ninaouzungumzia ni ule wa yale "yaliyojificha" si wa Kaburi la Mwalimu. Kwani kulikoni Mkandara hadi unapindisha hoja zangu?
 
Mkapa ni mwana ndugu kama walivyodai familia ya Nyerere na kuletwa hapa na FMES, ila nilichokupinga ni pale uliposema Mkapa alisema Vicent sio familia ya mwalimu. Kipande hiki hakipo ktk mjadala pia matumizi ya neno adopted sio sahihi kujaribu kutafsiri mila zetu kwa kidhungu, vinafanana kwa chati lakini sii sawa ktk matumizi ya lugha.
 

Tuweke kumbukumbu sawa. Mkapa si Mmakonde,bali ni Mmakua wa Masasi mwenye asili ya kaskazini ya Msumbiji
 
sina hakika kama unajua hesabu mkuu mwalim aliekufa 1989 ni yupi? kama nyerere ni 1999 hyo ni mwalim wako wa primary au? tupeni jibu sisi 2tajuaje kama alikufa kwa canser au sumu? cha msingi nkpa atupe jibu sahihi
 
- Mkuu Kigharama vipi mkuu mbona speed sana ndio mnatuogopesha kwamba huko kuna something!

Es!
Siku moja wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, Dr. Kitine alikuwa anataja mtandao wa mafisadi. Kabla ya kuingia kwa undani, Mkapa ambaye Kitine alikuwa Meneja wake wa Kampeni ndani ya CCM, akamuamuru Kitine akae chini.Akiwa bado amepigwa na mshangao Kitine akapokea Kimemo kutoka kwa Mkapa Kimeandikwa "watakuua wewe".

Huyu Mkapa mnayemuona jasiri hata yeye anawaogopa wenye nchi yao!! Kwa nini watu wasifikirie kwamba waliokuwa wanamuona Nyerere tishio ni kundi la wanamtandao na si Mkapa? Hapa kuna kitu kinaendelea cha kujisafisha na anayesafishwa si Mkapa wala Kikwete bali Lowassa!! Take my word.
 
uchimbuzi ninaouzungumzia ni ule wa yale "yaliyojificha" si wa Kaburi la Mwalimu. Kwani kulikoni Mkandara hadi unapindisha hoja zangu?
Dah mkuu wangu mara umekuwa spin master.. Haya jisome mwenyewe..na tuyaache hayana maana kubishana sanaa, mimi nimekwenda kisayansi tu..
 
sina hakika kama unajua hesabu mkuu mwalim aliekufa 1989 ni yupi? kama nyerere ni 1999 hyo ni mwalim wako wa primary au? tupeni jibu sisi 2tajuaje kama alikufa kwa canser au sumu? cha msingi nkpa atupe jibu sahihi
Nani kakwambia Mwalimu alikufa 1989? Hebu soma vizuri nilichoandika halafu urudi tena.
 

- Mwalimu alishasema Chamwino 1995 kuwa Mkapa akimaliza amuachie JK, so hakukuwa na sababu ya Mtandao kuwa na bifu na Mwalimu, na Mkapa by then Mwalimu anakufa hakuwa na anything to do na Mtandao, records zipo very clear, Mtandao walimkaba koo very late, just to put the record straight bro1 tupo pamoja sana tuendelee!

ES!
 

Mwaka 1995 wakati kina Guninita wanavua mashati ya CCM ulikuwepo mzee? Mwalimu hakusema Mkapa amuachie Kikwete urais huo ni uzushi tu!!
 
Mwaka 1995 wakati kina Guninita wanavua mashati ya CCM ulikuwepo mzee? Mwalimu hakusema Mkapa amuachie Kikwete urais huo ni uzushi tu!!

- mHHHH unasema ni uzushi kwamba JK alishinda kura za kwanza? acha hamaki twende pole pole, unasema JK hakushinda uchaguzi ule?

Es!
 
Hapo mkuu wangu umepaka rangi mpya ktk ukuta ulochakaa.. Unajua vizuri kwamba Mkapa na kina Apson waliyafanya mengi sana kufikia 1999 na nakumbuka Nyerere mwenyewe kwa mdomo wake alipokuja hapa alionyesha kutokuwa na imani na Mkapa na kusema hajui kama atapita uchaguzi wa mwaka 2000. Mnatumia nguvu kubwa sana kumsafisha, tuyaogope haya ni ya wana Familia!
 

Marshall, nisahihi kabisa madaraka kuingia kati lengo kuu ni kuweka sawa kumbukumbu za ukoo nia si vinginevyo na ndiyo maana kajibu kwa ufupi kuwa VN ni mdogo wao mtoto wa baba mdogo period.Asingeingia kati madaraka pengine tungeendelea kumlaumu VN kuwa kwa nini anatumia jina la JKN kujipandisha, laskini kwa sasa records ziko sahihi
 
Ajipandishe kivipi?..kwani kuna kimila cha mtoto wa nani ataheshimiwa siku hizi? hivi baba yake VN hakuwa na nafasi CCM?..
 
- mHHHH unasema ni uzushi kwamba JK alishinda kura za kwanza? acha hamaki twende pole pole, unasema JK hakushinda uchaguzi ule?

Es!
Kweli alishinda kwenye mzunguko wa kwanza lakini hakupata kura zaidi ya asilimia 50 zinazotakikana awe mgombea wa Urais. Alichofanya Mwalimu ni kuwakumbusha wana CCM kwenye mkutano ule kwamba Kikwete hajashinda bali ameongoza na inabidi ashindanishwe na MKapa ili mshindi apatikane!!
 
Madaraka ameweka kumbukumbu katika usawa kwamba vicent ni mtoto wa baba yao mdogo, je hapo kamchafua nani?
 
Mkandara mimi sikuelewi kabisa!! Mimi nakubali kwa asilimia mia kwamba Vincent ni wa ukoo wa Nyerere lakini hatoki kwenye Familia ya Mwalimu Nyerere. Pia nakubaliana na wewe kwamba Mkapa ni ndugu na kina Madaraka kwa YAMINI lakini hazaliwi na mtu yeyote kutoka kweye ukoo wa Nyerere!! Sijui ni wapi tunapopishana hadi udhani kwamba nataka kumsafisha Mkapa.
 
Kama ungesema hivi toka mwanzo tusingefika hapa mkuu nilichosema mimi ni kuweka sawa tu maneno yako. Maana ulisema kwamba Mkapa kasema VN sio familia ya Mwalimu wakati Mkapa hakusema hivyo! wala VN asingekuja na ghadhabu zile.

Tuyaache mkuu wangu yamekwisha, tumeelewa na tuko pamoja ila usitumie nguvu nyingi sana kumsafisha Mkapa maana haya ni ya wana ndugu na wanajua kuliko wewe na mimi unless wewe mwenyewe ni mwana ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…