- Kwenye hili CCM hawakuwa makini ingawa sijui the prons, lakini kumpeleka kampeni kama hii Mkapa, siamini kwamba politically ilikuwa a sound idea, ninaamini huku walitakiwa Vijana zaidi infact hata wagombea wenyewe wako in their 20s, labda kuna something sijui lakini kwa maoni yangu it was overreaching on CCM's part!
Es!
Kama hujamjua JK vizuri, huu ndio muda wa kumjua.....sasa kwa hali kama hiyo tunaweza kusema kweli tuna mwenyekiti wa ''chama chetu tulichokizoea'' mwenye busara kweli?
sasa kwa hali kama hiyo tunaweza kusema kweli tuna mwenyekiti wa ''chama chetu tulichokizoea'' mwenye busara kweli?
Na hapa ndipo alipoingia choo cha kike...manake alikurupuka bila kujiandaa matokeo yake akajikuta anafuka mapovu tu!Kuweka mambo sawa hapo Mkapa alienda kuzima propaganda za vyombo vya habari kwamba ametoa masharti ya kwenda Arumeru mpaka makundi yavunjwe ndo aende ndo maana alienda kujibu na kusema waliosema hivyo ni wajinga.
Twendelee....
Kamanda nakufurahia sana tangu nilipojiunga jukwaa hili toka enzi zile za bcstimes baadaye jamboforums, siku hizi niko na jina halisi kama unavyoona hapo juu. Nilipoona vijimambo vya Mkapa dhidi ya familia ya Nyerere nikakumbuka sana kamanda wangu, nikawa najiuliza wapi Mzee wa sauti ya Umeme? Nimemiss sana dataz zako kusema kweli
Mkapa nae ni familia ya Nyerere? Ni lini Watanzania tutakuwa 'serious' na vitu tunavyosema na kufanya? Au mizaha ndio destiny yetu??
Wote wengine hawafai wana madudu hawauziki labda!- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-Tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!
- Lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua Wananchi wa Tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, I mean kinachoendelea huko Arumeru ni serious business:
- HOWEVER: hivi kweli CCM haikuwa na mwingine wa kumpeleka Arumeru zaidi ya Mkapa? I mean kweli Viajna wote walioko CCM Why him?
FMEs!
kaka soma hapo underlined..una uhakika gani kwabma hili halijafanyika?
He explained that if the corruption allegations against Mkapa are genuine, the family will decide what to do about it, including possibly kicking him out of the family and denouncing his honorary status.
- Wakuu ndio tatizo letu wa-Tanzania, mara ngapi wakati wa kumbu kumbu za Mwalimu tumesikia Familia ya Mwalimu wakisema Mkapa ni mwana-familia yao? Magazeti mengi sana yamewahi kusema haya kwamba Mkapa ni familia ya Mwalimu sasa why leo mnashangaa?
- Hebu atokee mwanafamilia ya Mwalimu aseme bila uoga kwamba hawajawahi kusema Mkapa ni member wa familia yao! Tuwakumbushe siku na tarehe na aliyeyasema na wapi, WA-Tanzania sio mabwege tena siku hizi, hawa ni familia moja bana! sasa watumabie what else they know au wanaficha kuhusu Taifa!
Es!
Kama hujamjua JK vizuri, huu ndio muda wa kumjua.....
Kwa gharama yoyote ile anaweza kufanya jambo analoliona ni sahihi.....
Baada ya kuwamaliza walimu kupitia mkutano wake na sisi wazee wa Dar
Safari hii alitaka kuutumia kwa ajili ya kuwamaliza madaktari
Baada ya kuchanganya karata zake vizuri, akaona ya madaktari tayari kashalamba turufu
Akautumia kummaliza Lowassa....... Media zote zikawa kwa sisi wazee, coverage ya kampeni ya mkwe wa Lowassa ikanyimwa airtime....
Stuka!!
Hahahaha!
- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-Tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!
- Lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua Wananchi wa Tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, I mean kinachoendelea huko Arumeru ni serious business:
- HOWEVER: hivi kweli CCM haikuwa na mwingine wa kumpeleka Arumeru zaidi ya Mkapa? I mean kweli Viajna wote walioko CCM Why him?
FMEs!