pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Akizungumzia ubinafsishaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) amesema, Mwalimu Nyerere aliona faida za ubinafsishaji na kwamba, aliona umuhimu wa kuibinafsisha benki hiyo.
oh mme mwenza huyo.Hivi alishindwa kabisa kumsaidia Basil Mramba aliyepigania kwa nguvu zote mzee apate gulf stream hata kama itabidi wananchi wale nyasi?
Mbona hakusema hayo siku alipokabidh ofic,pia msamaha huombwa kwa Mungu haswa kwa jambo la umma na c kwa watu huenda huu ukawa unafiki!uongo na dharua!mbona hakiri kuhusu mgodi wa kiwira?Sipendeleagi kusema haya but nimelazimika kuyasema walau kidogo; tokea nchi imepata Uhuru Magufuli ni rais 5 kukaa Ikulu na anafanya kua rais 3 Mkristo. Hawa 4 (Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete) ni 2 tu ndio nimewahi kuwasikia kwa masikio yangu na kuwasoma wakiomba msamaha mahali walipokosea, tena wote wameomba msamaha zaidi ya mara 1 na wamefanya hivyo hadharani; ni Nyerere na Mkapa. Sijui ni kwasababu ya malezi ya dini zao kwamba lazima mtu atubie makosa na maovu yao au ni unyenyekevu (ambao nao still umekaa kimalazi ya Kikristo zaidi). Sina kumbukumbu kama nimwahi kumsikia Mwinyi na Kikwete kuomba msamaha (Mwenye kumbukumbu anikumbushe). Swali ninalo jiuliza, hivi hawa wengine ni kwasababu ya malezi ya kidini au misimamo ya dini zao au imetokea tu kama coincidence? Mwenye uelewa tafadhari.
Kwi kwi kwi kwi 'vidosho"Hii ni moja ya speech ya ki.pu.mba.vu na kilo.fa zaidi toka kwa kiongozi kuliko upu.mbavu na ulo.fa aliouna kwa watu waliompa heshima ya kuwa kiongozi wa nchi.Ubinafsishaji anaojaribu kuujutia hapa ndiyo uliompa fursa ya kufanya biashara akiwa ikulu.
Kupitia Sera ya ubinafsishaji aliyoisimamia mwenyewe,aliweza kufungua kampuni ya ANBEN na kujimilikisha kinyume na sheria za nchi mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira.Leo hii anapojaribu kutoa kilio cha machozi ya mamba,anapaswa alisemee hili,akiri hadharani kuwa aliitumia ofisi ya Umma kujinufaisha binafsi.
Ni katika uongozi wake rais wa sasa alisimamia uuzwaji wa nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa huku baadhi ya nyumba hizo zikitolewa kwa "vidosho" wa wanene.
Pamoja na kukiri kushindwa kwake,uongozi wake uliacha majeraha mengi ambayo hayatasahaulika milele.Ni katika uongozi wake Taifa lilishuhudia mauwaji ya wapemba waliouliwa kikatili na majeshi yetu yaliyoapa kuilinda mipaka ya nchi yetu,lakini kwa mara ya kwanza badala ya kuilinda mipaka yetu,yaliwageukia Watanzania na kuwafyeka mithiri ya kuku alaye mayai yake.Kwa Mara ya kwanza nchi yetu ilizalisha wakimbizi baada ya kukimbilia nchi jirani ya Kenya kuukimbia mkono wa chuma na vifaru vya majeshi yetu vilivyokuwa vikiwaswaga kwa amri ya Mkuu wa nchi.
Huu waweza kuwa uchochezi kwa Tafsiri ya Policcm,lakini haya ninayoyaandika si uchochezi bali ni ukweli mchungu ambao viongozi wetu wanatamani waufute katika kumbukumbu za vichwa vyetu lakini hawawezi kwa sababu hawana mamlaka ya kutawala na kuzitiisha akili na dhamiri zetu,wataishia kutawala viwiliwili vyetu tu lakini si ufahamu wetu.
Viwiliwili wanaweza kuvitawala hata kwa taarifa za intelejensia feki ya policcm inayowapa kibali cha kuswaga watu kwa mabomu na Maji ya kuwasha.Unafiki wa watawala wetu na wapambe wao ukijaribu kuuweka katika viwango vya kidunia,waweza kuwa ni unafiki wa kiwango cha PhD.Mtu anakurupuka bungeni mithiri ya msukule na kuiomba serikali ijenge uwanja wa kumbukumbu ya push-ups na bado waziri mwenye dhamana badala ya kukemea upuuzi huo,anamuunga mkono kwa kuahidi kufikiri namna ya kujenga kumbukumbu hiyo.Kati ya push-ups na mauwaji ya Wazanzibar yaliyosimamiwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni kipi kilipaswa kujengewa kumbukumbu?Wazanzibar waliouliwa makumi kwa makumi mwaka 2001,maadhimisho yake hadi leo hupigwa marufuku na jeshi la police kana kwamba waliouliwa Zanzibar walikuwa ni magaidi,lakini kutokana na mparaganyiko wa maono ya kiutawala,watu wanaomba kumbukumbu za push-ups na serikali inaridhia,je hoja za aina hii haziwezi kuwa kigezo cha kulifanya Taifa letu kuandikwa kwenye Vitabu vya maajabu ya Dunia kama Taifa la watu wa.pumba.vu zaidi Duniani?
Hii ni nchi ya ajabu sana ambayo ukijipa muda wa kuitafakari unaweza kuishia korokoroni kwa kuitwa mchochezi kwa kuwa tu unajaribu kusema ukweli ambao viongozi wetu hawapendi kuusikia.Mungu tusaidie kupata viongozi wenye hofu ya kweli kuliko hawa wa kumbukumbu za push-ups.Amen.
Nadhani anafikiria kuwa hatutakumbuka yaliyotokea, au aloyafanya!Alikuwa jeuri na mbabe sana huyu... msamaha empty tu utasaidia nn...? I don't accept...!! NBC asidanganye watu, MWALIMU ALIPINGA sana sana... na watu wengi wasomi walipinga.. ila yeye alibinafsisha nakuwapa makaburu rafiki zake..!! Kama ana uchungu na nchi hii AKAUZE HOTEL YA KIMATAIFA ILE PALE DURBAN South Africa aliyojengewa na matajiri kama asante... na siku ya ufunguzi wa hotel hiyo ya KIFAHARI, alimwalika Mh. Nelson Mandela na ALIKATAA NA KUMUONA HAFAI, sbb MANDELA ALIJUA NI RUSHWA HIYO na kumwambia pamoja umehongwa na nchi yenu maskini na umepewa asante na matajiri si basi UNGEJENGA HATA KWENU TZ watu wako wapate ajira..!!
Huyu nae ni walewale..!!
Labda kwa kitabu kingine; kwa Biblia lazima uanze kuomba msamaha kwa aliyekukosea kwanza then ndio uende kwa Mungu. Yaani we unikosee mimi halafu unaenda kwa Mungu? Kwa mafundisho ya Yesu hata sadaka hutakiwi kutoa hadi umeenda kupatana na aliyekukosea then ndio urudi Kwake.Mbona hakusema hayo siku alipokabidh ofic,pia msamaha huombwa kwa Mungu haswa kwa jambo la umma na c kwa watu huenda huu ukawa unafiki!uongo na dharua!mbona hakiri kuhusu mgodi wa kiwira?
Thanks mkuu kwa ufafanuzi.Ni coincidence tu mkuu. Hakuna dini isiyofundisha kuomba msamaha au kufanya toba baada ya kukosea
kuwa muelewa ndugu!unadhani watz 45ml utawaomba msamaha kwny kongamano ambalo dhamira ilikuwa kujadili kitu kingine eti ww unaibuka na kuomba msamaha watu waliopo ukumbini!Huku ukiwadanganya na kuwadharau!yy amuombe mungu wake sio cc!cc tulikataa ubnafsishaj yy alilazimisha!Labda kwa kitabu kingine; kwa Biblia lazima uanze kuomba msamaha kwa aliyekukosea kwanza then ndio uende kwa Mungu. Yaani we unikosee mimi halafu unaenda kwa Mungu? Kwa mafundisho ya Yesu hata sadaka hutakiwi kutoa hadi umeenda kupatana na aliyekukosea then ndio urudi Kwake.