fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,919
Tupo kwenye maombolezo tuache kwanze alazwe kwenye nyumba yake ya milele, Vyote kaviacha,
Unajua mkuu 'moudgulf', tayari hii (mada) ni sehemu ya "mauaji ya Pemba."Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Alie kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Mkapa) hii ndio moja ya hotel aliomiliki, pia kuna jengo moja pale ilala limefanywa Apartments hotel na mmiliki inasemekana ni mkewe.
Rais mstaafu huyu Mungu Amrehemu, katika utawala waje kumefanyika majanga makubwa moja ni kupora mali za umma, kujibimbikilia mali na mashamba, pamoja na mauwaji makubwa January 27 2001 kisiwani Pemba
Sio vizuri kusemwa marehemu kwa mabaya yake , ila tunaweza tukayafanya yakawa mazuri, na moja kwanza kurudisha mali za umma, pia mkapa alikuwa masikini tu na haiwezi kani amiliki mali kama hizi yeye na mkewe. View attachment 1517736
View attachment 1517737
View attachment 1517738
Hilo jeshi la polisi lilitekeleza unyama huo kwa matakwa yao tu? Pumbavu sana wewe.Unajua mkuu 'moudgulf', tayari hii (mada) ni sehemu ya "mauaji ya Pemba."
Hawa watu wanatafuta njia za pembeni badala ya kuliongelea hilo la mauaji watu tukajua ilikuwakuwaje hadi kukawa na mauaji.
Kwa nini hawana ujasiri wa kufanya hivyo? Yaani waonyeshe jinsi mauaji yalivyo sababishwa na mtu wanayemlaumu. Hili ndilo lingekuwa zuri.
Kutafuta hizi njia za pembeni kunafanya waonekane kuwa na tatizo la kuliongelea hilo la mauaji moja kwa moja. Sasa sijui tatizo lao ni nini.
na ile radarMm naiulizia ile ndege alionunua iko wapi wakuu?
Ila la nusu ya mshahara wa rais aliyepo madarakani si kweli.Binadamu tumeumbwa na kutolizika!, Rais aliyemaliza muda wake na familia yake wanatunzwa na nchi mpaka kufa kwao, matibabu, nusu ya mshahara wa Rais aliyeko madarakani, n.k. Kwangu mimi mtu akisha hakikishiwa hayo yote ingefaa akajikita zaida kulitumikia Taifa, na hayo ya kujihangaikia yangefaa kuachwa!.
Hilo ni jina tu la hotel, inge andikwa The Benjamin William Mkapa - hapo ingekuwa yake! Hapa unamzushia kusudi achukiwe ili wewe ufurahi.Alie kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Mkapa) hii ndio moja ya hotel aliomiliki, pia kuna jengo moja pale ilala limefanywa Apartments hotel na mmiliki inasemekana ni mkewe.
Rais mstaafu huyu Mungu Amrehemu, katika utawala waje kumefanyika majanga makubwa moja ni kupora mali za umma, kujibimbikilia mali na mashamba, pamoja na mauwaji makubwa January 27 2001 kisiwani Pemba
Sio vizuri kusemwa marehemu kwa mabaya yake , ila tunaweza tukayafanya yakawa mazuri, na moja kwanza kurudisha mali za umma, pia mkapa alikuwa masikini tu na haiwezi kani amiliki mali kama hizi yeye na mkewe. View attachment 1517736
View attachment 1517737
View attachment 1517738
Naona watangazaji wanalazimisha uwingi wa watu wakati watu ni wachache sanaMkapa wananchi hatujaguswa na msiba wake sababu ya ufisadi wa awamu yake... nyumba za serikali, mashirika ya uma na viwanda vya uma aliviuza bila kujali ajira za wananchi zinapotea
Nyerere aliweza hayo.Naye Mkapa alijitanabaisha ni mfuasi wa Nyerere.Sasa akaanzaje kuwa kabaila?Mahmoud Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran ameweza hayo.
Kwa nini una akili za kijambazi mkuu?Nyerere ndo kazingua aisee.... Yani hadi watoto wake wamekatwa kura za maoni...
Kikwete nae mke ndo anagombea ubunge!!!??
Magufuli ashtuke. Rais hela zote zake.