mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema
mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961
CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu
amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri
Du Mkuu najua ni Mkosaji lakini ungempa hadhi ya Mzee wa Kiafrika,wazee wa kiafrika na miaka yake themani [80] lakini bado anakoloma kwenye boma yake bwana!!
Mkapa jana akifunga kampeni alisema wapinzani. ni wavivu wa kufikiri,ccm ndio iliyolete uhuru na sio chama kingine.anasahau kuwa edwin mtei mzee ndesa mzee mbowe babaake free mbowe,mzee kasela bantu,mzee fundikira na osca kambona walipigania uhuru,na ilivyoanza vyama vingi wakaanzisha vyama walivyona ccm imekuwa chama cha matajiri na mafisadi mmojawapo akiwamo mkapa na lowasa.aseme yeye kipindi hicho alikuwa wapi?alivyokuwa mvivu wa kufikiri na hana kumbukumbu na muongo hakukumbuka hata kwenye msiba wa joseph kiboko nyerere alipiga picha na vicent nyerere kwenye kampeni anadai hamjui.hata baba wataifa alivyomuua hakumbuki kama alifanya sherehe .alishindwa kufikiri kuuza nyumba za serikali viongozi wajao hawatapata pa kuishi bila kujali akauza viwanda bei ya kutupa bila kujali ajira za walalahoi.benk ya NBC akauzaa kwa kisingizio inaendeshwa kwa hasara mbona CRDB haindeshwi kwa hasara?bora ingeingia ubia na CRDB. Huyo ndio mkapa bushoke kama hamuelewii huyu mzee ni bushoke aliuzaa mali ya umma kwa shinikizo la mama mkapa hata mawaziri alikuwa anachaguliwa na mama la sivyo kichapo tuu.
mkapa jana akifunga kampeni alisema wapinzani. Ni wavivu wa kufikiri,ccm ndio iliyolete uhuru na sio chama kingine.anasahau kuwa edwin mtei mzee ndesa mzee mbowe babaake free mbowe,mzee kasela bantu,mzee fundikira na osca kambona walipigania uhuru,na ilivyoanza vyama vingi wakaanzisha vyama walivyona ccm imekuwa chama cha matajiri na mafisadi mmojawapo akiwamo mkapa na lowasa.aseme yeye kipindi hicho alikuwa wapi?alivyokuwa mvivu wa kufikiri na hana kumbukumbu na muongo hakukumbuka hata kwenye msiba wa joseph kiboko nyerere alipiga picha na vicent nyerere kwenye kampeni anadai hamjui.hata baba wataifa alivyomuua hakumbuki kama alifanya sherehe .alishindwa kufikiri kuuza nyumba za serikali viongozi wajao hawatapata pa kuishi bila kujali akauza viwanda bei ya kutupa bila kujali ajira za walalahoi.benk ya nbc akauzaa kwa kisingizio inaendeshwa kwa hasara mbona crdb haindeshwi kwa hasara?bora ingeingia ubia na crdb. Huyo ndio mkapa bushoke kama hamuelewii huyu mzee ni bushoke aliuzaa mali ya umma kwa shinikizo la mama mkapa hata mawaziri alikuwa anachaguliwa na mama la sivyo kichapo tuu.
Hawa wazee walitakiwa kupumzika wanakuja kwa siasa.... ngoja tuwachana sasa...
1. Atueleze Exim Tower ni ya nana, na yeye anauhusiano gani na Exim Bank
2. Mahusiano yake na RA
Yeye Mkapa ni mvivu wa kuzaa ndio maana wanaume ka Mramba waliamua kumsaidia ili angalau naye awe na watoto wa kulea. Uvivu wa kuzaa mara nyingi husabisha mtu kupata msongo wa mawazo unaosababisha mtu kuwa anaropoka hovyo, ndio yanayomkuta mzee mkapa kwa sasaameeleza jinsi walivyokuwa wavivu wa kufanya utafiti ni jinsi gani mashirika yaliobinafishwa yalikuwa kabla ya kubinafsishwa na baada?
na akaonyesha ni jinsi gani wazawa walivyopata sehemu kubwa ya mashirika na hata yale waliopewa wageni walipewa kwa kushare sio moja kwa moja
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema
mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961
CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu
amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri
Sasa bwana Mkapa anazungumzia CCM ipi mwaka 1961? Anyway, wote tume'originate kutoka CCM lakini unapoona Plan A haiendi sawa lazima uwe na Plan B. Kwa sasa CCM plan yao ni kuifilisi hii nchi na kama ukitaka kuikomboa unaonekana ni mjinga basi sawa lakini mtuachie nchi yetu.
ajibu kwanza tuhuma za kuhusu kifo cha baba wa taifa kama yy alivyojibiwa juu ya vincent kuwa mwana ukoomheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHademamosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberuamezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri