Baada ya kujikuta akizama kwenye tope zito siku ya ufunguzi,rais mstaaf ben hataki tena kurudi arumeru mash kushiriki ktk kufungwa kwa kampeni za uchaguzi mdogo mwishoni mwa mwezi huu.Katika kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la igunga,mkapa alihusika ktk uzinduzi na kufungwa kwa kampeni za ccm.Kwa kampeni za arumeru mash,mkapa alijichafua mwenyewe baada ya kusema kuwa vincent nyerere si mwanafamilia ya baba wa taifa.Inasemekana mkapa anamfaham fika vicent nyerere kuwa ni mwafamilia ya nyerere lkn alijifanya kutomfahamu kwa sababu wameru walionekana kuwa na shauku ya kumwona mtu mwenye jìna la nyerere ambalo ni jina kubwa ktk medani za siasa za tz hivyo mkapa kuamua kupotosha kwa makusudi na kujikuta inakula kwake.Ili kuepuka kuchafuka zaidi yeye na chama chake wameamua asirudi tena arumeru katka ufungaji wa kampeni.
Source.Ni ya uhakika toka jikoni lumumba stréet

Chadema mna hofu moja kuu kwamba Mkapa akifunga kampeni Arumeru CCM itashinda. Hofu ya nini wakati kura hazijapigwa?
Aende au asiende does not make any difference. Akienda Chadema watamhoji kuhusu uthabiti wa kauli yake. Asipoenda ndo balaa zaidi. So, it's all up to him and CCM.
Mlituambia hatakwenda kufungua kampeni Arumeru........akawaumbua siku ya ufunguzi wa kampeni kwamba mnaosema hivyo ni wajinga na hamkwenda kumuuliza mkamsemea kwenye vyombo vya habari.........mnarudia tena kosa lilelile.
Kweli, aende asiende sidhani kama kuna tofauti. Acheni wafu wazike wafu wenzao.