Mkapa: Kikwete ni robot

Pia alisema hajui kwa nini Tanzania ni nchi maskini.

KIKWETE: Teh teh teh teh! I exactly don't know why my country is so poor!
We should be proud of having JK as the Head of this Country!
 
Hata robot huwa ina mtu anayeiongoza kwa kutumia mitambo maalum (computerized devices). Kwa wenzetu wamarekani, mtu yuko Florida lakini anaongoza silaha (predator-drones) Afghanistan, Yemen, au Somalia. Nafikiri Mh. Mkapa ata-appreciate uvumilivu wa watanzania, anatakiwa kuwaeleza wananchi wa Tanzania ni nani yuko control room kumsukuma remotely JK kufanya hayo anayofanya?
 
Mkapa, tunaomba utuambie, Kikwete ni liroboti la nani?
Swali rahisi mno "liroboti la RA, Manji, na mafisadi wote na hata mwanae Ritz1. Hao ndio marais wetu na walioshika remote za kuongoza robot Jk!
 
Tunataka viwanja vya ndenge vya kimataifa Bukoba na Meli zetu mpya na siyo mitumba kama iliyotuangamiza 1995
 

Sangara you are right! kuchekacheka kwa mwanaume kuna dalili nyingi! LOL
 
kwani uongo? hawezi kuchanganya na zake ndo maana, amezoea kutafuniwa matokeo yake anameza hadi vilivyooza!
 
mbona na nyinyi mlisema mtaandamana nchi nzima kumbe mmejifungia mkimwandikia barua huyo Rais wenu? huu pia ni udanganyifu
Sawa na kama lilivyo jina lako kweli umeanza porojo .Chadema wako tayari kulala njiani hata mwaka mzima kama si Polisi wa CCM kuwapiga na kuwadhuru .Uongo hapa ni upi sasa ? Ruhusa si umeona imenyimwa ama unatumia elimu yako ndogo na masaburi kuandika JF ?
 

Lingine ni kutukatisha tamaa Wananchi wake wakati alipoulizwa kwanini Tanzania ni masikini alijibu namnukuu "Hata mimi sijui kwanini Tanzania ni masikini kiasi hiki" Mwisho wa kunukuu. Huyu sii makini japo ni msika fimbo wetu
 
View attachment 41993
Hii ahadi kajitahidi kutimiza, hongera Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete.
Acha umasikini wa mawazo kama siyo akili, unafikiri hizi bajaji ni sawa kwa mama mjamzito? hususani kwa hizi barabra zetu.
hizi zinafaa kwa barabara za lami tu na siyo vijijini. na kwenye shida zaidi ni vijijini na siyo mjini.
Naongea kama mwanamke ambaye nilishakuwa na hali hiyo(mimba), mfano barabara ya makoka tu mgonjwa atjifungulia njiani.
huku ni kucheza na maisha ya watu
 

Tafadhali, read his comment between the lines. Why becoming so angry? What is wrong with him?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…