Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Hujamwelewa. Wewe unaongelea IdeologiesAwamu ya pili ilikuja na ideology ruksa na fagio la chuma meaning kwamba kulikuwepo udhaifu kwenye maeneo hayo kwenye awamu ya kwanza
Awamu ya tatu ilikuja na idelogy ya uwazi na ukweli ikionesha kwamba hayo yalikuwa mapungufu ya serikali zilizop
Awamu ya nne ikaja na idelogy ya nguvu mpya, ari mpya, na kasi mpya ikiashiria kwamba kulikuwepo kuchoka kwa serikali tawala zilizopita
Sasa tuna idelogy ya hapa kazi tu ikiashiria kwamba kumekuwepo na udhaifu kwenye msisitizo wa wa kazi huko nyuma
Mwingine atakuja na kitu kingine tena........ na ideologies hizi hazina shida yoyote
na yeye anaongelea criticisms.