Mkapa arudi kugombea urais 2015

Mkapa arudi kugombea urais 2015

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
180
KWa maoni yangu mkapa arudi kugombea URAIS....Sioni kichwa cha kusimama mwaka 2015 upande wa CCM. Mzee Salim hawampendi yeye alifaa kuliongoza taifa hili pia.

Upande wa UPINZANI Siooni mtu sahihi wa kuleta changamoto kwa chama Tawala. Pia upinzani wananunulika kirahisi mno....watanzania elimu ya kuchagua viongozi bada sanaaaaaaaa. Labda miaka 20 ijayo.

Tumuombe MKAPA arudi anyanyue huu uchumi ingawa ukiangalia JK kafanya vizuri kimataifa, Kitaifa bado wananchi wa chini tunaumia na mfuko wa bei kwa kila kitu...mitandao ya simu imekuwa gharama zaidi na zaidi. Sasa ukiwa na 500,000 nenda nayo sokoni utarudi huna chochote.
 
Mkuu matatizo yote aliyosababisha mkapa bado unataman arudi madarakan.fikiria tena mbona wenye uwezo wapo wengi tu
 
wanin mkapa tena uku atauza nin tena?wakat alishamaliza umemsahau kua kuna kina januar makamba kina huseyn mwiny muuza sura membe ila tambua kua mzee lipumba anaichua hi nch kirahis sna via ukawa.
 
wanin mkapa tena uku atauza nin tena?wakat alishamaliza umemsahau kua kuna kina januar makamba kina huseyn mwiny muuza sura membe ila tambua kua mzee lipumba anaichua hi nch kirahis sna via ukawa.

Makamba, Mwinyi hii sio nchi ya kifalme. Unaota
 
wanin mkapa tena uku atauza nin tena?wakat alishamaliza umemsahau kua kuna kina januar makamba kina huseyn mwiny muuza sura membe ila tambua kua mzee lipumba anaichua hi nch kirahis sna via ukawa.

January Makamba labda mwaka 2050, Mwinyi ameshindwa pale Wizara ya Afya apewe nchi....si itakuwa kama hii awamu ya pili. Angalau JK alijitahd awamu ya I ya pili sielewi kwanini chama tawala wamefeli.
 
Mkapa ni jembe tuache ukabila na udini. Jamaa alikuza uchumi na kujitahid kupunguza den la taifa kias cha kusamehewa. Sasa deni la taifa 21t
 
wanin mkapa tena uku atauza nin tena?wakat alishamaliza umemsahau kua kuna kina januar makamba kina huseyn mwiny muuza sura membe ila tambua kua mzee lipumba anaichua hi nch kirahis sna via ukawa.

FIKIRIA UPYA...MAKAMBA uwezo wake mdogo sana kidiplomasia...pia angalia waliomzunguka hawezi kukamati hii nchi. Makamba akichukua urais Jeshi litachukua nchi.
 
Mkapa ni jembe tuache ukabila na udini. Jamaa alikuza uchumi na kujitahid kupunguza den la taifa kias cha kusamehewa. Sasa deni la taifa 21t

Umenena. Uchumi uko hoi bin tabani. Matatizo madogo madogo ya mkapa msiyaangalie. Angalieni hata nchi ilivyokuwa. Wafanyakazi wa Serikali walikuwa wanameremeta....leo hii wafanyakazi wa serikali hawana any bonus, hawana training, hawana furaha kama enzi za mkapa. Sasa watu wanaamua kuacha kazi na kufanya biashara...wakati enzi za mkapa watu walikimbia biashara wakaingia serikalini kupiga kazi...hali ilikuwa si mchezo. Kama unabisha nenda kwenye ofisi za Serikali kwenye Halmashauri...taasisi wanahali mbaya Acha taasisi ambazo zinajitegemea kwa asilimia kubwa kama TCRA, TRA, REA, SUMATRA, TPDC n.k ndo kwenye unafuu.
 
Kwahiyo unahisi watanzania wote milioni 40 hakuna mwenye uwezo wa kutuongoza isipokuwa mkapa??? Alafu unasema eti watanzania elimu ya kuchagua bado sana, nahisi wewe ndio wa kwanza unayehitaji kupewa elimu ya kuchagua..
 
Wewen ndo kichaa...kuwa milion 40 si kwamba hakuna...angalia uwezo..na uzoefu
 
Back
Top Bottom