Yupo mahakamani jamani
Baada ya hapo ana kesi ya kumuua baba wa taifa, dah! huyu jamaa ni controversial sana anahangaishwa na tamaa yake ya fisi.Ndugu,
Akitoka Kisutu ataenda Kanda ya Tabora kutoa ushahidi wa jinsi alivyoshiriki kugawa mahindi siku moja kabla ya kupiga kura za uchaguzi mdogo wa kumtafuta Mbunge wa Igunga.
Mkapa katika kesi hii anamtetea Mahalu.
Nitaambatanisha utetezi wake badae. Kama kuna mdau anao karibu aupandishe
Tunakutegemea wewe!
Ameisha panda au bado
Huyu hakupaswa kupanda Mahakamani kutoa ushahidi bali alipaswa kupanda Mahakamani kujibu tuhuma za ufisadi na kufanya biashara akiwa Ikulu.