Kwahiyo atasafari za nje yeye ndiyo anamshauri aende pia?
Rais jakaya kikwete jana alikiri mbele ya mkutano mkuu wa ccm kuwa mamboyote yaliyofanyika ni ushauri wa benjamini mkapa kikwete aliyasema hayo wakati akiwashukuru wanachama walio mpigia kura alisema,ninanukuu, maranyingi mimi huwa nikisha jifungia ikulu huwa sielewi kinacho endelea na wakati mwingine hawa majamaa huninyang 'anya hata sm yangu ya mkononi ili watu wasinisumbue lakini mzee mkapa akisikia au kuona jambo yeye kwakuwa hasuhiliwi pale ikulu hunifuata mojakwamoja nakunipa maelekezo ndugu wajumbe hata utaratibu tulioutumia kwenye mkutano huu nimzee mkapa kapangilia.hivyo inaonyesha jinzi gani mkapa anavyo msaidia jk