Tumeanza Safari, tuko na wewe
Naungana na wale wote wanaoshangilia uamuzi wa kishujaa wa Rais wa Tanzania kupitia chama cha CCM. Pamoja na reservations nyingi zangu na za watu wengine, kitendo chake cha jana kimeamsha matumaini yaliyokufa, ndani yangu. Kwa wanaosema eti ni Dowans nyingine, wamepitwa na wakati, kama wakati wa Dowans JK asingekuwa emajichanganya na wakina Rostam basi Tanzania ingepona kama itakavyopona sasa. Kwa ujasiri wa Magufuli na sisi wengine japo ni kenge kwenye msafara wa Mamba, hakuna atakayetuburuza, kwani Gadafi na Fidel Castro waliwezaje? hivi kwa leo hii kuna namna yoyote Trump na Putin watakubaliana na upumbavu wa mabeberu hao, madalali wa uchumi wa Tanzania kama kina Mkapa? W
Benjamin William Mkapa, Jasusi, Dalali na Adui # 1 wa Tanzania
Wakati Muhongo na kiburi chake anawajibishwa, Lazima Benjamin Mkapa nae ajumlishwe kama mtuhumiwa namba moja kwenye janga hili. Ninakumbuka wazi wakati huo bwana Lyatonga Mrema aposhangaa inakuwaje Mkapa anapewa mzinga wa jiwe la Dhahabu, eti zawadi na Mrema alishangaa zawadi iliyokuwa nzito kuliko mfuko w cement ambapo lijitu la miraba minne kama Mkapa lilishindwa kuibeba, anapeleka wapi? Hich ndicho chanzo.
Lyatonga Mrema na vita ya Ufisadi wa Mikataba ya Dhahabu
Ni kwa vile tu huyu bwana amechalala na yuko hoi ndip maana ujasiri wake umepotea. Huyu kiongozi ndio alikua wa kwanza kushitukio udadali wa wakina Mkapa, lakini tukampuuza. Leo hii yametufika tunakosa hata kumnukuum na yeye kwa sababu ya kujipendekeza hana nguvu ya kukumbusha. Wananchi tumehamasika, Wezi tunawajua, tofauti na hao madalali wa uchumi wetu, tunaye mfunga paka kengele, anachohitaji ni sisi kusimama nae. Umenza vema, lakini kuna viporo vimalizie kazi. Tunashukuru tunaona dalili njema, Mwanaidi Maarja alipewa ubalozi kwa kukuwadia na kusimamia majambazi wa Dowans, why? tunataka justice, nao wapelekwa mahakamani na kufilisiwa, kujiuzulu kwa huyo Jaji partner wao hakuna Tija washitakiwe, na tuendelee kupiga magoti mungu aendelee kuwaonyesha maana wanachokipitia tayari ni dalili kuwa maombi yanajibu. Tunataka tume ya kuchunguza Kiwira Coal Mining, Mbarali Rice Farm, Mwanza leather company ambako wakina Rostam wamefungua mashine zetu za mamilioni na kufunga majengo, jamaniiiii acheni Rais atoe machozi.