King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,419
- 88,754
Mwacheni mzee wetu apumzike-jmkikwete
Alipokuwa madarakani hakuiandaa mtwara kimaendeleo, leo yuko nje ya madaraka ndio anapiga kelele. Hapo ndio utakavyojua ni jinsi gani watanzania walivyo wabinafsi na jinsi gani wasivyowajali wengine wakiwa madarakani, wakishakuwa nje ya system ndio makelele kibao.inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
Napiga mswaki ntarudi muda si mrefuMi napita tu....
inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
Mzee kabadilika siku hizi!inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
Kwani aliyepo jikoni na aliyepo sebuleni wapo sawa kuonja chakula?Alipokuwa madarakani hakuiandaa mtwara kimaendeleo, leo yuko nje ya madaraka ndio anapiga kelele. Hapo ndio utakavyojua ni jinsi gani watanzania walivyo wabinafsi na jinsi gani wasivyowajali wengine wakiwa madarakani, wakishakuwa nje ya system ndio makelele kibao.
Watanzania hatupendani kiukweli, inabidi tubadilike.
Leo hii tunawasapoti chadema kwa sababu CCM imeoza mno, lakini sitoshangaa chadema kufanya the same kama CCM watakapokuwa madarakani.
acha umbeya uchonganishi na ufitini mkapa ni mtu makini hawezi kufanya ushenzi huoinasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao
Aliimarisha uchumi wa nchi kwanza lakini akaweka mipango madhubuti ya kuendeleza kusini kama vile mtwara corridor na ujenzi wa barabara mara muda ukawa hauruhusu. Mwenzake sasa balaaaaaaaAlipokuwa madarakani hakuiandaa mtwara kimaendeleo, leo yuko nje ya madaraka ndio anapiga kelele. Hapo ndio utakavyojua ni jinsi gani watanzania walivyo wabinafsi na jinsi gani wasivyowajali wengine wakiwa madarakani, wakishakuwa nje ya system ndio makelele kibao.
Watanzania hatupendani kiukweli, inabidi tubadilike.
Leo hii tunawasapoti chadema kwa sababu CCM imeoza mno, lakini sitoshangaa chadema kufanya the same kama CCM watakapokuwa madarakani.
Hata kama hajasema, bado hicho ulichokiandika ni kweli, yaani wakiachia tu, basi ni umasikini wa kudumu. Kuna mdau kaandika reli iling'olew, southern corridor imebaki kwenye makaratasi, grid ya taifa haikuwahi kwenda, bandari inasuasua na ndo hiyoooo chinaaa kumkomboa kaka mtarajiwa wa taifa, tangu 2005 barabara ya kusini haijaisha na wala hatujasikia tamko lolote, korosho wanakopwa kwa bei ndogo... We acha tu waipiganie. Mbona viwanda vya pamba viko kunakolimwa pamba? Mbona viwanda vya sukari viko kunakolimwa miwa? Mbona makampuni ya madini yapo kunakopatikana madini? Mbona viwanda vya samaki vipo kunakopatikana samaki? Mbona uzalishaji wa umeme wa maji unafanyika kwenye vyanzo vya maji? Mbona viwanda vinavyoshughurika na makaa ya mawe vimejengwa kunakopatikana makaa ya mawe? Kwanini vyote hivyo havikuletwa Dar? Halafu hii ya kusema gesi ni ya wananchi wote ni kweli, lakini si wananchi wote wanaishi Dar, kama hiyo sababu, basi hiyo gesi ipelekeni kigoma, nako si kuna watanzania?inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane kufa na kupona gesi isivuke mipaka ya mkoa wao