Mkao wa Mtoto tumboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkao wa Mtoto tumboni

Discussion in 'JF Doctor' started by Mkumbavana, Jan 26, 2012.

 1. M

  Mkumbavana Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini madokta na member wengine wote, jamani nakiri kuwa sijui na ningependa kujua na chaguo langu la kwanza la kunielimisha limekua jf, najua humu kuna madaktari bigwa na member wenye ujuzi na picha, naombeni mnielimishe ukuaji wa mtoto tumboni, anakaaje na anageuka wakati gani, mngeniwekea na picha ningeshukuru sana, AHSANTENI
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ngoja waje
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Pregnancy in humans normally lasts approximately 38 weeks as measured from the time of fertilization, or conception, until birth.


  Tuanze na
  fertilization, or conception

  Ujauzito kwa binadamu , kwa kawaida Udumu takribani wiki 38 kuanzia siku ya kwanza Wa kutunga mimba hadi kuzaliwa.

  kinachotokea wakati wa Fertilozation ni manii "sperms" machache yale yalifikia yai katika falopian tube yanalizunguuka yai na kuanza mashindano ya kuingia ndani "ku penetrate yai" kumbuka kichwa cha manii "sperm" kinakuwa na kitu chaitwa the acrosome which releases enzymes that begin to break down the outer, jelly-like layer of the egg's membrane, trying to penetrate the egg.
  [​IMG]

  Mara baada ya mbegu moja ina amepata "au imefanikiwa ku penetrate", utando wa seli ya yai "the cell membrane of the egg" kunatokea mabadiliko ya cell electrical characteristics . This electrical signal causes small sacs just beneath the membrane (cortical granules) to dump their contents into the space surrounding the egg. The contents swell, pushing the other sperm far away from the egg in a process called cortical reaction. haha unaweza ukasema ni kama vile imefanikiwa sasa ina mark teritory kwamba nimefika.. hehe! anyways tuendelee

  hapo process ya fertilization inakuwa imekamilika na fertilized egg inaitwa ZYGOTE

  Katika wiki 8 za kwanza ukuaji zygote huitwa embryoni(embryo) na humaanisha "kukua ndani".
  wakati huu, huitwao wakati wa kiembryoni, huhusishwa na kuambwa Kwa mifumo muhimu ya viungo vya mwili.

  Wakati wa mwezi wa kwanza wa maisha yake, kiinitete binadamu (Embryo) inaonekana kama ile ya mnyama yoyote ya juu, kama vile paka... wakati wa mwezi wa pili, it slowly assumes human features. Ni kuanza kuendeleza kumtambua uso, mikono kama vile, miguu, vidole, na vidole vya miguu. Viungo vya uzazi pia vyaanza kutokea , ingawa bado undifferentiated katika hatua hii (yaani, wao ni sawa kwa wote wanawake na wanaume). When the entire growing organism finally becomes clearly identifiable as human, it leaves the stage of the embryo and enters that of the fetus.
  [​IMG]  The Fetus

  The word fetus (Latin: offspring) is used to describe the growing organism from the beginning of the third month of its life to the moment of birth.

  During this time, it develops from a small growth of slightly over an inch weighing only a fraction of an ounce into a baby of about twenty inches in length weighing approximately seven pounds. In the first weeks of this development, the male-female sex differentiation becomes apparent in the internal sex organs. A little later, the external sex organs develop their characteristic structure. Sometime around the fifth month, the fetal movements become strong enough to be felt by the expectant mother. This so-called quickening was formerly believed to be the moment when life entered the new body.

  Throughout its growth, the fetus is well protected from injuries as it floats almost weightlessly inside a fluid-filled sac called the amniotic sac.

  Amniotic sac ni hii

  [​IMG]

  At the end of the sixth month, the fetus measures about six inches in length and weighs about one and a half pounds. At this time, the centers of the brain which control breathing begin to develop.

  It is not entirely impossible (although very unlikely) that such a fetus could actually survive a premature birth. However, the probability of brain damage because of still ineffective breathing is great.

  [​IMG]

  The last months of fetal development bring further refinements, such as the temperature control mechanism in the brain and a protective layer of fat under the skin. In the case of a male fetus, the testicles "mapumbu" descend into the scrotum. If this descent should fail to occur, corrective measures have to be taken sometime after birth. Otherwise, sterility will result.

  During the final weeks before birth, the fetus not only grows rapidly in size, but also gains much of its weight. The birth of a fetus weighing less than five pounds is premature.
  i hope nimejitahidi kujibu swali lako...ni darasa kubwa sana nimejaribu kulifupisha & samahani nimechanganya lugha ukomo wangu wa kutumia kiswahili katika hayo mambo ni mdogo sana...

   
 4. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Umeongea vema, lakini point of correction:

  Kwa kawaida Mimba ya kawaida hukua kwa muda wa siku 280, au wiki 40, miezi tisa ya kalenda. (+ / - two weeks)

  Tunahesabu mimba kuanzia siku ya kwanza ya kuingia mwezini kwa mara ya mwisho. Kwahiyo, mimba yenyewe inaanza mwanzo wa wiki ya tatu baada ya kuona siku zako
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  well thanks bro, but ni kweli kama ukihesabu from LMP ni 40 weeks na kama ukihesabu from a day of conception ni 38 weeks to birth ... though i agree with ya most docs wanahesabu from LMP .. and few of us we prefer from a day of conception .

  unajuwa mate hesabu ya kuanzia LMP ipo confusing kidogo nakupa mfano - four weeks from the first day of a womans last period she is considered "4 weeks pregnant", but, "in week 5 of pregnancy". This can get confusing, especially considering that a baby is actually, only about two weeks old.

  hata hivo vyote ni sawa tu either counting from from LMP or From a day of conception
   
 6. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I commend you doctors. And I thought were onstrike. Good to know doctors care. BRAVO.
   
 7. M

  Mkumbavana Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwakweli nashukuru sana kwa kunielimisha ila bado nina swali kizazi cha mwanamke kimeishia chini ya kitovu inakuwaje tumbo la mama mjamzito linakua kubwa/linajaa mpaka karibu na matiti?
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135

  ..........Mtoto anavyozidi kukua na tumbo la uzazi linapanuka, ndio maana tumbo linakuwa kubwa karibu na matiti. Tumbo la uzazi unaweza fananisha na sehemu aliyoingia/kutokea mtoto.........sehemu zote hizi zina tabia ya kupanuka na kusinyaa. Mtu mzima wewe nadhani umeelewa.
   
 9. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Somo zuri sana. Nina swali dogo, je utajuaje au ni dalili gani zitamjulisha mama mja mzito kuwa sasa mtoto amegeuka na kukaa mkao wa kujifungua?
   
 10. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwanza wk za mwisho tumbo la ma mjamzito hushuka halafu mtoto hujigeuza kwa kasi tofauti na anavyojigeuza siku zote ni rahisi ku note kwa mama anayefuatilia jinsi mtoto anavyocheza tumboni
   
 11. josephjul40

  josephjul40 JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2014
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Na je eti kweli ukifanya mapenzi bila kutumia kondomu siku za mwisho mwisho kabla mama mjamzito kujifungua eti mtoto atazaliwa akiwa na manii/shahawa kichwani mwake? Msaada plz
   
 12. K

  Kiny JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2014
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa ufupi si sahii sababu mlango wa uzazi (cervix) uwa umefungwa kwa jelly ambayo ni nzito(thick) kutoruhusu manii/shahawa kupita, lakini kama ulivyosema kuwa ni siku za mwisho inawezekana mlango umeanza kufunguka (delation of cervix) inawezekana zikapenya lakini mtoto anazungukwa na utando(membrane) au chupa kama lugha ya wengi, hivyo hayatamfikia na kama yatafika kwenye membrane kwa upande mwingine kabla mtoto hajazaliwa lazima membrane ipasuke na yale maji yanayomzunguka mtoto kutoka (rupture of membrane and release of amniotic fluid) hivyo yale maji (amniotic fluid) yatatoka na ile mambo huko ndani, samahani kwa kutumia kiswa-nglish.
   
 13. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2014
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Darasa zuri.
   
 14. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2014
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 11,084
  Likes Received: 2,716
  Trophy Points: 280
  I officially miss being pregnant mie Karucee
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2015
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Somo zuri kwa expectant mothers...
   
Loading...