Chui gani mdogo hivyo?Mkuu Mzizi Mkavu, huyo ni Chui:
Kwa hiyo chui huzaliwa wakiwa wakubwa tayari!Chui gani mdogo hivyo?
Mkuu ukimwangalia vizuri huyo mnyama utagundua amekomaa!Kwa chui huzaliwa wakiwa wakubwa tayari!
Ok hawa wanyama jamii ya paka (cats family) wako wengi sana. Na watu huwa wanawachanganya.Mkuu ukimwangalia vizuri huyo mnyama utagundua amekomaa!
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri!Ok hawa wanyama jamii ya paka (cats family) wako wengi sana. Na watu huwa wanawachanganya.
Baadhi yao ni hawa hapa (kwa kiinglish):
lions, tigers, ocelots, jaguars, caracals, panthers, leopards, pumas, lynxes, n.k. Na mara nying hutofautiana kwa ukubwa na rangi, ukimwondoa simba ambaye ni rahisi kumtambua.
Kwa hiyo chui huzaliwa wakiwa wakubwa tayari!