Mkao wa KULA

Mkao wa KULA

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
537955_474935265903016_1820789778_n.jpg
 
Mkuu Mzizi Mkavu, huyo ni Chui:
Mkuu aminia hiyo avatar yako ni Kamanda Powell aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje enzi za Bush..au siyo?
 
Mkuu ukimwangalia vizuri huyo mnyama utagundua amekomaa!
Ok hawa wanyama jamii ya paka (cats family) wako wengi sana. Na watu huwa wanawachanganya.
Baadhi yao ni hawa hapa (kwa kiinglish):

lions, tigers, ocelots, jaguars, caracals, panthers, leopards, pumas, lynxes, n.k. Na mara nying hutofautiana kwa ukubwa na rangi, ukimwondoa simba ambaye ni rahisi kumtambua.
 
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri!
 
Mie nimevutiwa na namna tundu alilojificha lilivyokaa zaidi ya alivyokaa aliyejificha.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom