U ugalila JF-Expert Member Jul 31, 2015 652 599 Feb 10, 2016 #4 N A wanafunzi ni wakukanya pia maana nao wanaliwa na bodaboda sana
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Feb 10, 2016 #5 Wapi Konda wa bodaboda na bodaboda2?
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,981 4,166 Feb 10, 2016 #6 Raimundo said: Wapi Konda wa bodaboda na bodaboda2? Click to expand... Mkanye mkeo, bodaboda nimeazima, sio yangu.
Raimundo said: Wapi Konda wa bodaboda na bodaboda2? Click to expand... Mkanye mkeo, bodaboda nimeazima, sio yangu.
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Feb 10, 2016 #7 Konda wa bodaboda said: Mkanye mkeo, bodaboda nimeazima, sio yangu. Click to expand... Kwani we si ukatae tu! Kaa ukijua huyo ni mke wa mtu.
Konda wa bodaboda said: Mkanye mkeo, bodaboda nimeazima, sio yangu. Click to expand... Kwani we si ukatae tu! Kaa ukijua huyo ni mke wa mtu.