Mkanye Mkeo #SipendiUjinga

Mkanye Mkeo #SipendiUjinga

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
db67f6d97bd15b967050cd00186fe190.jpg
 
Huu uchafu wa maandishi yasio na maadili pia inafaa Mh Makonda alipe umuhimu na kulishughulikia.
 
Hivi huyu kweli atawapata wateja wanawake???? Yaani hivi kweli wanawake wanaweza kupanda Bajaj yenye maandishi ya aina hii????!!!!
Hahaha. Atawapata tu
 
kama injili vile, kila muumini anaondoka na kipande chake. huoni mdau hapo ameinama kusoma kwa hisia. hujui ameguswa kwa kiasi gani. hahahaaa fasihi buana
 
Hivi huyu kweli atawapata wateja wanawake???? Yaani hivi kweli wanawake wanaweza kupanda Bajaj yenye maandishi ya aina hii????!!!!
Tena ndio wanaipenda balaaa si unajua haramu ndio inapendwa
 
Hivi huyu kweli atawapata wateja wanawake???? Yaani hivi kweli wanawake wanaweza kupanda Bajaj yenye maandishi ya aina hii????!!!!
Utasoma maandishi saa ngapi? Wakati hayapo mbele ya Bajaj, after all mwanamke atakayepanda humo kama ameolewa basi atakuwa keshakanywa na mumewe.
 
Mbavu sina mie
 
Hivi huyu kweli atawapata wateja wanawake???? Yaani hivi kweli wanawake wanaweza kupanda Bajaj yenye maandishi ya aina hii????!!!!
Hivi unawajua wanawake wewe?
 
Back
Top Bottom