Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Wewe Hujui kuwa TFF ni taasisi ya Tenga binafsi. Inaitwa TFF (Tenga Football Federation). Sasa kwa nini asiwe na maamuzi na kila kitu?
acheni unafki kuna watu wana njaaaa sana kwani hakuna kazi nyingine
wakalokote makopo ya maji ajiri mpya!
Basi komaeni selikari iliingilie ili mfungiwe miaka kumi kama Mali
Hao wasio na njaa si wawapishe wenye njaa ! Mbona wao wanahangaika hivyo kuzuia wenye njaa hali wao wameshiba !?
Kampuni hua zinasajiliwa na mamlaka ya serikali. Kwani usajili hua unaipa serikali mamlaka ya kuendesha kampuni hizo. Wacha dharau wee kwanza huna loloteYaani umejikusanya kabisa ukakaa kwenye key board kuandika huu ujinga !? Yaani huu ujinga haufai hata facebook !
Rudi nenda kamwambie Tenga 'muungwana hatumwi ujinga' !
Mshauri afungue ofisi ya 'Kichefu chefu' (tff) kule Zurich ndo hataingiliwa kamwe. Kama hawataki kuingiliwa kwa nini walisajili Katiba yao Baraza la Michezo ? Wao ndo waliingilia shughuli za serikali kwa kusajili katiba yao serikalini. Minduku yao wotee !
Kampuni hua zinasajiliwa na mamlaka ya serikali. Kwani usajili hua unaipa serikali mamlaka ya kuendesha kampuni hizo. Wacha dharau wee kwanza huna lolote
....
Mtu kama Wambura aliondoka FAT bila kukabidhi ofisi licha ya kuombwa arudi kukabidhi ofisi na kuweka sawa mambo. Kwa ufupi alinyea kambi lakini hivi leo kila kukicha anataka uongozi TFF.
Sijui kwa nini huyu Wambura na mwenzake Malinzi hawataki kuachana na TFF badala yake wangejikita kukuza vipaji, kufundisha soka safi na pengine kuanzisha vilabu vyenye mafanikio makubwa kuzishinda hizi timu kongwe. They proved failure long time ago, lakini bado wataka madaraka kwa udi na uvumba, duh hapo ndo ninapochoka na viongozi wa hizi nchi zetu.