Mkangara aingizwa mkenge 'kabang'

Sisi watanzania 2mamatatizo sana... Hv kwa nin ha2jiulizi kwa nini hawa kina wambura wanangangania tff? angali 2najua kuwa tff ni mahala pakujitolea na si ajira ..sasa 2jiulize kuna ajenda gani ya siri kwa hawa mabwana kutumia nguvu kubwa kiasi hki ili kuingia madarakan.. mi sidhan kama wambura ana ajira rasmi maana kwa kumbukumbu zangu alisha leta mtafaruku kama huu simba.. aliamua kurud shule ilikupata degree ambayo ilikuwa ni kikwazo kwake kama kgezo cha kugombea uongoz ngaz yajuu....sasa 2jiulize ni ki2 gani anatafta katka uongoz maana angeweza kutuonyesha umahri wake kama angegombea uongoz club ndogo na kuifikisha pazuri na kukuza vpaji ..2ngeamin kwamba anauchungu na soka la tz....co siri sisi 2mekuchoc bwana mambura maana kidogo 2 wewe mahakaman...unatuchosha
 
Wewe unamuona wambura tu ndio tatizo?
Yeye tenga ni kwa nini anataka kulazimisha Nyamlani agombee peke yake ilhali Malinzi alikidhi viwango vyote vya kugombea na alitimiza vigezo vyoote.lakini Tenga kwa kuhofia madudu yake kufahamika endapo ataingia mtu tofauti na mtu wake Nyamlani asije adhirika.

Alafu hivi nipe ufafanuzi wa hili serkali inapomleta kocha kwa ajili ya trimu ya taifa ni sawa na hata rais anapomlipa mshahara kocha huyo hapo bado ni sawa,ila unapofika wakati wa kupeana muongozo hapo tenga ndio anakuwa mwana FIFA zaidi
Serikali inamleta kocha kama grant kwa TFF lakini hailazimiki. Kocha ni jukumu la TFF. Hivi nchi za nje zinavyotoa grant kwa serikali zinaweza kuiamrisha serikali waziwazi kufuata katiba fulani? FIFA inataka footbal federations kuwa independent bodies na ndivyo katiba ya TFF ilivyoundwa. Halafu kina malinzi na Wambura ni oppurtunists. Kama wao waliona kulikua na ukiukaji kwa kubadilisha katiba katika utaratibu uliotumika kwa nini walishiriki kwenye mchakato wa uchaguzi. I bait kama wangefanikiwa kusengekua na hii fujo
 
Hajaingizwa mkenge
nina mashaka na mleta mada anmetumwa ama anapima upepo
TFF ni genge fulani na Tenga ameshaambukizwa lile gonjwa la Ndolanga wanataka kutuona watz woote hatuna akili
Kama wanaona maagizo ya serikali hayatekelezeki katiba wasiipeleke kuisajili serikalini kama wanaweza ku exist kama wao
Govt wana big role ya kuplay na uongozi wa soka na ndio maana wamejenga uwanja,wameleta kocha etc
TFF Wao migogoro kila siku hawana vision ya kesho hata ofisi inawashinda sembuse hata football academy moja .....
bravo Dr Mkangara,tupo pamoja
 
Kwani TFF kunabiashara gani hadi kila uchaguzi mtu kwa udi na uvumba agombee. Tujiulizee wameifanyia nini TZ ktk soka hadi wawe ving'ang'anizi. Biashara sio TFF pekeee wanataka kujinufaisha zaidi. Tenga tuko pamoja nawe. Umeichezea Yanga umeichezea pia timu ya Taifa Yakima ubidhi. Wambura na Malinzi hatujui wamechezea wapi soka lao.wakafanye biashara nyingine sio US soka
 
Kama kuna mtanzania bado anamwona TENGA ana matatizo na siyo Kiongozi... basi watanzania tumerogwa na mchawi wetu kesha kufa na funguo kabla hajafa alizitupia baharini! Poor Tanzania, poor Tanzanians shame on YOU!! Mkiona tunashabikia timu za nje na vyama kama FA ya uingereza msituite siyo wazalendo ile hatuwezi kuvumilia UKAKASI kama huu!!

Kama kwako Tenga kwako ni malaika basi hiyo hainihusu,ninachouliza kwako ni kwa vp anaonekana kumbeba zaidi huyo Nyamlani bila aibu kabisa,tena nimefuatilia maelezo yake kwa undani alipoongea jana kwa waandishi wa habari.
Mimi hata hiyo FIFA sina imani nayo sana kwani nao wamegubikwa na matukio ya rushwa na ufisadsi kila uchao ndio maana hata mpira wa miguu kule ulaya umejikuta kwenye kashfa za kupanga matokeo hivi majuzi kwa manufaa ya wacheza kamali wakubwa.
Sijui kama hilo unalijua ndugu yangu,Tenga anahofu kwa malinzi kwamba anaweza kufumua uoza ambao ni pamoja na matumizi mabaya ya raslimali za TFF.

Nyamlani ni mmoja wa uongozi ambao umemaliza muda wake akiwa kama makamu mwenyekiti ,hivyo hawa wanajuana na ni rahisi kufichiana madhambi yao,watu makini lazima tuwe na shaka hapo.
 
Kwani TFF kunabiashara gani hadi kila uchaguzi mtu kwa udi na uvumba agombee. Tujiulizee wameifanyia nini TZ ktk soka hadi wawe ving'ang'anizi. Biashara sio TFF pekeee wanataka kujinufaisha zaidi. Tenga tuko pamoja nawe. Umeichezea Yanga umeichezea pia timu ya Taifa Yakima ubidhi. Wambura na Malinzi hatujui wamechezea wapi soka lao.wakafanye biashara nyingine sio US soka
Kumbuka seikali ndio iliyojenga uwanja wa sasa wa taifa na sio tenga,serikali kupitia rais kikwete ndie aliyemleta kocha Maximo na sio tenga,sasa serikali na wadau mbalimbali wanapoona Tenga akipotoka kwa maslahi binafsi wewe unataka Tenga asiguswe kisa alichezea timu ya taifa na yanga.

Kumbuka TFF sio mali ya Tenga hivyo alipaswa kuacha mchakato wa uchaguzi uwe fair,suala la katiba mbona vyama vyoote vya mpira mikoani vimefanya uchaguzi wao kwa katiba ya 2006,na ndio hao wajumbe wa mkutano mkuu
Sasa huni hii inaleta mkanganyiko tayari?
 
Kwani TFF kunabiashara gani hadi kila uchaguzi mtu kwa udi na uvumba agombee. Tujiulizee wameifanyia nini TZ ktk soka hadi wawe ving'ang'anizi. Biashara sio TFF pekeee wanataka kujinufaisha zaidi. Tenga tuko pamoja nawe. Umeichezea Yanga umeichezea pia timu ya Taifa Yakima ubidhi. Wambura na Malinzi hatujui wamechezea wapi soka lao.wakafanye biashara nyingine sio US soka
Kumbuka seikali ndio iliyojenga uwanja wa sasa wa taifa na sio tenga,serikali kupitia rais kikwete ndie aliyemleta kocha Maximo na sio tenga,sasa serikali na wadau mbalimbali wanapoona Tenga akipotoka kwa maslahi binafsi wewe unataka Tenga asiguswe kisa alichezea timu ya taifa na yanga.

Kumbuka TFF sio mali ya Tenga hivyo alipaswa kuacha mchakato wa uchaguzi uwe fair,suala la katiba mbona vyama vyoote vya mpira mikoani vimefanya uchaguzi wao kwa katiba ya 2006,na ndio hao wajumbe wa mkutano mkuu
Sasa huni hii inaleta mkanganyiko tayari?
 
Hajaingizwa mkenge
nina mashaka na mleta mada anmetumwa ama anapima upepo
TFF ni genge fulani na Tenga ameshaambukizwa lile gonjwa la Ndolanga wanataka kutuona watz woote hatuna akili
Kama wanaona maagizo ya serikali hayatekelezeki katiba wasiipeleke kuisajili serikalini kama wanaweza ku exist kama wao
Govt wana big role ya kuplay na uongozi wa soka na ndio maana wamejenga uwanja,wameleta kocha etc
TFF Wao migogoro kila siku hawana vision ya kesho hata ofisi inawashinda sembuse hata football academy moja .....
bravo Dr Mkangara,tupo pamoja
Well said mkuu 100%,tatizo tenga anatufanya watanzania woote ni watu tusiojua kinachoendelea hapa,ya kwamba amechomeka system yake pale akiwa[ anamtaka nyamlani amrithi hivyo faulo zote hizi zina mlengo wake brother
 
Hoja za kwamba MALINZI hana uzoefu wa miaka mitano. Ndo hovyo kabisa..Tenga anataka kufanya TFF ni taasisi yake binafsi na kutaka kumpachika Mgombea wake abake pekee katika uchaguzi. Sijawahi kuona sehemu amabayo Malizi alikuwa failure.
nahisi umetumwa.

kwa Malinzi sawa lakini huyo wa mara wambura hapana jamaa ni mwizi na mganga njaa sugu kabisa kila kukicha anawaza Tff wakati ule hata ofisi alishindwa kukabidhi!
 
wewe umetumwa si bure!mi naiomba serikali ikomae tu,kwani haiwezekani kikundi cha wahuni wachache,ndio wawe wanafanya mambo wayatakayo,mfano huyo wambula wamemuonea vya kutosha,kama wanavyodai kuwa mambo ya mpira aliyapeleka mahakamani!mbona mzee wa suspender(sunday kayuni)aliwapeleka tff mahakamani lakini bado yumo!huyu tenga analalamika tu kuomba huruma ya wa tz,eti waziri ameshauriwa vibaya!kwani impact yake ni kubwa sana!yeye ndiye amekurupuka anakimbilia kwenye media anasema haikubaliki harafu ana muomba waziri akutane naye!MWISHO WA UBAYA NI AIBU!TENGA UMESHUSHA HESHIMA YAKO HUWEZI TENA KUIPANDISHA.
 
Hajaingizwa mkenge
nina mashaka na mleta mada anmetumwa ama anapima upepo
TFF ni genge fulani na Tenga ameshaambukizwa lile gonjwa la Ndolanga wanataka kutuona watz woote hatuna akili
Kama wanaona maagizo ya serikali hayatekelezeki katiba wasiipeleke kuisajili serikalini kama wanaweza ku exist kama wao
Govt wana big role ya kuplay na uongozi wa soka na ndio maana wamejenga uwanja,wameleta kocha etc
TFF Wao migogoro kila siku hawana vision ya kesho hata ofisi inawashinda sembuse hata football academy moja .....
bravo Dr Mkangara,tupo pamoja

Basi komaeni selikari iliingilie ili mfungiwe miaka kumi kama Mali
 
Sisi watanzania 2mamatatizo sana... Hv kwa nin ha2jiulizi kwa nini hawa kina wambura wanangangania tff? angali 2najua kuwa tff ni mahala pakujitolea na si ajira ..sasa 2jiulize kuna ajenda gani ya siri kwa hawa mabwana kutumia nguvu kubwa kiasi hki ili kuingia madarakan.. mi sidhan kama wambura ana ajira rasmi maana kwa kumbukumbu zangu alisha leta mtafaruku kama huu simba.. aliamua kurud shule ilikupata degree ambayo ilikuwa ni kikwazo kwake kama kgezo cha kugombea uongoz ngaz yajuu....sasa 2jiulize ni ki2 gani anatafta katka uongoz maana angeweza kutuonyesha umahri wake kama angegombea uongoz club ndogo na kuifikisha pazuri na kukuza vpaji ..2ngeamin kwamba anauchungu na soka la tz....co siri sisi 2mekuchoc bwana mambura maana kidogo 2 wewe mahakaman...unatuchosha
Sikiliza brother pale TFF kuna mafao kibao wanakwenda mmikkutano mbalimbali inayoandaliwa na fifa au cecafa na caf,pia makato yote ya tokanayo na viingilio yanakwenda TFF pia na hata auditing ni verry poorely done kwa hilo ukitaka kujua nenda kalione hekalu la tenga.au jiulize Mwakalebela alivyotoka akiwa fresh
Na kwenda kugombea ubunge kwa kishindo,ndio maana walioonja hiyo kama kina wambura hawaachi kuhangaika nayo
 
Kwani TFF kunabiashara gani hadi kila uchaguzi mtu kwa udi na uvumba agombee. Tujiulizee wameifanyia nini TZ ktk soka hadi wawe ving'ang'anizi. Biashara sio TFF pekeee wanataka kujinufaisha zaidi. Tenga tuko pamoja nawe. Umeichezea Yanga umeichezea pia timu ya Taifa Yakima ubidhi. Wambura na Malinzi hatujui wamechezea wapi soka lao.wakafanye biashara nyingine sio US soka

We ndio uko pamoja naye,sisi tuko pamoja na serikali tumechoshwa na uhuni wao,kama una walaumu wanaotaka kuingia,na hao waliomo mbona hawataki kutoka!huyo tenga ameufikisha wapi mpira wetu?wakati anaingia kwenye rank ya fifa tulikuwa wa ngapi na sasa ametuacha nafasi ya ngapi ukizingatia resource zote zilizopo?kikubwa alichofanya tenga ni kupunguza migogoro iliyokuwepo hapo awali,na c kingine.
 
huyu tenga nae hana lolote huo uchaguzi anaongangania uwe fair ndo mgombea awe mmoja???uliona wapi hiio??pia huyo tenga hajaleta maendeleo yyt ya soka kwani toka yupo madarakani tumefika wapi??si bora hata ya ndolanga Simba walifika final wakatolewa na stella???tenga asilete uchaga hapa kujifanya anajua sana eti tff ibaki yenyewe..kwani timu ya taifa inaiwakilisha tff au nchi??inaiwakilisha nchi kwa hio serikali ni muafaka kuingilia na wakitaka tufungiwe pouwa tuu tena ndo uzuri tuimarishe timu zetu period...bravo mama mkangara...
 
Kumbuka seikali ndio iliyojenga uwanja wa sasa wa taifa na sio tenga,serikali kupitia rais kikwete ndie aliyemleta kocha Maximo na sio tenga,sasa serikali na wadau mbalimbali wanapoona Tenga akipotoka kwa maslahi binafsi wewe unataka Tenga asiguswe kisa alichezea timu ya taifa na yanga.

Kumbuka TFF sio mali ya Tenga hivyo alipaswa kuacha mchakato wa uchaguzi uwe fair,suala la katiba mbona vyama vyoote vya mpira mikoani vimefanya uchaguzi wao kwa katiba ya 2006,na ndio hao wajumbe wa mkutano mkuu
Sasa huni hii inaleta mkanganyiko tayari?
Uwanja ni mali ya serikali na TFF inalipia, kocha ni wa serikali kwa ajili ya timu ya taifa na anamilikiwa na wizara, TFF sio ya serikali ni ya vyama vya mpira wa miguu Tanzania.
 
Kama kuna mtanzania bado anamwona TENGA ana matatizo na siyo Kiongozi... basi watanzania tumerogwa na mchawi wetu kesha kufa na funguo kabla hajafa alizitupia baharini! Poor Tanzania, poor Tanzanians shame on YOU!! Mkiona tunashabikia timu za nje na vyama kama FA ya uingereza msituite siyo wazalendo ile hatuwezi kuvumilia UKAKASI kama huu!!

Matatizo ya kupenda ndiyo hayooo,mtu akipenda anaamua kutumia moyo kufikiri badala ya kichwa.

Hoja kuu ni uhalali wa katiba iliyotarajiwa kutumiaka kufanya uchaguzi, Tenga msomi kabisa anasema kwa kuwa sasa hivi kuna utandawazi hivyo alilazimika kutumia utandawazi kufanya mkutano mkuu,huku akitoa mfano wa teleconference zinavyofanyika,yeye hakufanya teleconference bali alifanya 'Circularconference' ndo kwanza nimeiskia kwa Tenga kuwepo kwa mkutano tena mkutano mkuu kwa njia ya circulars.
Inawezekana jambo alilotaka kulifanya ni jema,sawa lakini jambo jema linapofanywa kwa njia mbaya tusidanganyane hakuna jema hapo,alikuwa wapi muda wote kuweka mambo sawa kwa njia njema kama kweli alikuwa na nia njema ?
Hili swala la mtu fulani hana uwezo au lah wakati mnaitisha uchaguzi no hoja isiyo na mantiki kabisa,haiwezekani mgombea asiye na uwezo akapata uongozi kama wapiga kura wana uwezo, kwa maelezo ya shutuma kwa wambura et al kwamba hawana uwezo ni kusema kuwa TFF ina tatizo la msingi la wapiga kura,badala ya kushughulikia kwa kutengeneza miundo mbinu mizuri ya upigaji kura kuhakikisha wenye uwezo hawapati nafasi za uongozi mnaongeza ubabaishaji kwa kutegemea nguvu ya FIFA. hapa pana tatizo tena taztizo kubwa, kama TFF mmeamua kufuata demokrasia kupata viongozi basi iwe ya kwanza kusimamia katiba na kuweka sheria nzuri za kulinda heshima ya soka tanzania,lakini si kufanya maanmuzi ya zimamoto ambayo ni kinyume na sheria kwa kisingizio cha kutaka kuweka viongozi bora.
 
Usimshutu tenga eti ana hekalu...unajua alikuma nan kabla hajaingia tff..ckia njaa zako usilinganishe na mafanikio ya watu na ndo maana cc wa watz 2mawivu wa kijnga..faham mke ma tenga ni mtu mkubwa sana tcra...tenga ni m2 aliejitosheleza. hana njaa za kima wamambura kwa maana hata hi ungwe ya pili nyny wa tz mlimlazimsha...ths time akasema hapana cwez endelea kuongoza mpira wenye siasa bla kuangalia uhalisia yaan sisi wa tz cko zote ha2pend watu wa kweli 2napenda kudanganywa na kuleta siasa kila pahala hata ambapo hapastahil....
 
Katika muonekano wa FIFA shirikisho za vyama vya mpira katika nchi mbalimbali ni mali ya vyama vya soka na wadau wengine katika nchi hizo, wala shirikisho hizo sio mali ya serikali. Sasa serikali inapoingilia na kufanya uamuzi kuhusu shirikisho hizo ni sawa na kuzigeuza kama idara za serikali. Jambo hilo historia inaonyesha fifa hawalikubali.

Waziri Amos Makala ameonekana kushabikia sana hoja potofu za kina Wambura na Malinzi na nadhani waziri ameshauriwa vibaya kuhusu uamuzi wake kufuta katiba ya TFF ya 2012. Mbele ya FIFA si waziri tu hawezi kuchukua hatua kama hiyo hata serikali hairuhusiwi.

Taratibu za TFF chini ya uongozi wa Tenga zimesukwa vizuri kuwazuia wababaishaji na Makanjanja kugombea uongozi katika TFF. Hao jamaa ni hodari wa kuzungusha maneno ndio maana wanampoteza akili hata Dr. Mkangara msomi mzuri.

Mtu kama Wambura aliondoka FAT bila kukabidhi ofisi licha ya kuombwa arudi kukabidhi ofisi na kuweka sawa mambo. Kwa ufupi alinyea kambi lakini hivi leo kila kukicha anataka uongozi TFF.

Yaani umejikusanya kabisa ukakaa kwenye key board kuandika huu ujinga !? Yaani huu ujinga haufai hata facebook !
Rudi nenda kamwambie Tenga 'muungwana hatumwi ujinga' !
Mshauri afungue ofisi ya 'Kichefu chefu' (tff) kule Zurich ndo hataingiliwa kamwe. Kama hawataki kuingiliwa kwa nini walisajili Katiba yao Baraza la Michezo ? Wao ndo waliingilia shughuli za serikali kwa kusajili katiba yao serikalini. Minduku yao wotee !
 
kunafaida gani katika hili soka....???bora lifungiwe
Poor Dr Mkangara siasa za futzbal zitamtia dosari na kumchafua, amekurupuka kufanya maamuzi kuhusu katiba ya TFF; bora angemtafuta Prof. Kapuya ampe uzoefu wake na yaliyomkuta enzi za FAT ya Muhidin Ndolanga na genge lake la kina Mikaili Wambura na Ismail Rage!!

FIFA will never buy that rubish!! Waziri akiwa mbishi mpira wa Tanzania kwa her!, vyama vya mpira sio shirika la serikali na wala serikali haina ubavu wa kuisukuma FIFA, Tanzanian soccer will be the looser! wake up Dr, Mukangara!!
 
Back
Top Bottom