mnavira
Member
- Apr 11, 2014
- 22
- 13
Naomba MSAADA wa mawazo wadau wangu. Hivi wanyama mfano Ng'ombe, nyati, Chui au Tembo huwa wanaugua magonjwa ya Zinaa/ya ngono mfano kaswende, kisonono na pangusa? Kama ndiyo wanaponaje? Ikiwa wanaumwa magonjwa hayo utawatambuaje? Kama hawaumwi kwa nini magonjwa haya yaathiri wanadamu zaidi?