Mkanganyiko: Dr.mponda na lukuvi kuhusu babu wa loliondo

mimi nadhani tatizo ni 2015 ndio maana lukuvi ananipinga hadharani
sasa mimi nitamfurahisha lukuvi
sito onyesha nia ya urais 2015 nitajaribu 2025
naona hajanitendea haki
mbona mimi fedha za umma natumia vibaya kama wao
kunalipi la kifisadi sijatenda
babu loliondo nimeshaunda kamati watu wanakula kuku kwa mlija
sasa yeye anataka nifanye ufisadi hupi ili hafurahi
siwe kugawa maeneo ya wazi ya jiji la dar maana sina dhamana nayo
yeye agombee hiyo 2015 mimi sitaki

 
Back
Top Bottom