Mkanganyiko: Dr.mponda na lukuvi kuhusu babu wa loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkanganyiko: Dr.mponda na lukuvi kuhusu babu wa loliondo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magessa78, Mar 11, 2011.

 1. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "Dr.Mponda,waziri wa afya..SERIKALI YASITISHA HUDUMA ZA BABU LOLIONDO.,William Lukuvi,waziri wa sera na bunge..HUDUMA ZA BABU LOLIONDO KUENDELEA..."ni maneno ya mawaziri wawili walioko ktk baraza moja la mawaziri na WOTE WANAWAKILISHA SERIKALI ya JK!!
   
 2. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Lukuvi anaamini katika Ushirikina ndio.
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :drum:

  "A cabinet under a corrupt president is none than just a corrupt cabinet......
  "NDT, 2011  Haya ya kawaida sana kwenye cabinet ya Mkwere...........Magufulu Vs Pinda, Sitta & Co Vs Ngeleja and the list goes on.....
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />

  Mkuu wa mkoa arusha nae hajapata maagizo ya wzr wa afya kasikia redioni lol! Serikali hii???
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,787
  Trophy Points: 280
  Unajua maana ya ushirikina? Give me definition please!!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  It tells all about the kind of leadership that we have at the moment in this country! The divided kingdom that tries to stand....
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani huyo babu ni mshirikina? nadhani tunapaswa kudefine vizuri terms ili tuweze kuwa na upande ulio bora!
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni kawaida yao......
   
 9. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,765
  Likes Received: 6,087
  Trophy Points: 280
  Kaka hapo tayari kuna vi-elements vya udini. Angalia huyo aliyetoa hiyo hoja (Arafat), halafu husianisha na Lukuvi, Haji Mponda, na Babu. Mara moja utapata picha.
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  gagulo na Sidiria hao...
  Wote ni wakurupukaji
   
 11. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Baada ya kusikia KAULI YA ASKOFU T. LAIZER WA KKKT ARUSHA wameogopa sasa inabidi wabadili njia.

  Kilichokuwa kinafuata ni kuwarudishia maradhi yao viongozi wote waliowahi fika kwa Babu akiwemo Ps wa wizara.

  babu pia alisha waambia wachague dawa au Siasa sasa wamerudi nyuma.

  Unajua kwa wale ambao hamjamwona babu hamuwezi jua nguvu zake, kweli ni ntu wa Mungu.

  Akikutizama tu anajua ww unaumwa au unadhihaki!

  Kuna watu walijifanya wajuaji wakavuka wenzao kwenda mbele ya foleni, babu aliwarudisha nyuma na hakuambiwa na mtu jamaa ilibidi warudi ktk foleni zao.

  Kuna mtu alitaka kunywa vikombe viwili akakatazwa na babu, lakini jamaa akalazimisha akajichotea mweywewe dawa, babu hakusema kitu, na sasa jamaa ni MAREHEMU!

  Jamani nguvu ya babu msiidharau hata kidogo, ukiinmgia eneo lenyewe unaanza kuhisi tofauti kabisa.
   
 12. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Busara ya Lukuvi imeahirisha kwa kiasi fulani hasira za raia.
  Ila alichosahau ni kwamba wakiisha kupona watarudi katika fahamu zao na kukumbuka jinsi serikali ya sisiem ilivyowafisadi kwa kuiuza nchi bei poa kwa wageni.
  Sasa sijui watapoozwa na nini wakati huo.
  .
   
 13. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  hapa hamna serikali bali kikundi cha wajasiriamali na wahujumumu taifa ili wanufaike wao
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu asante sana na kwa kuongeza kuna article imeandikwa na Raia mwema watu wakaisome nadhani utapata picha there is something fishy about this mchungaji na dawa yake.
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
   
 16. U

  Uswe JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkwereeee :)
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Inashangaza!!! Tufuate agizo lipi?je ni lile la kitaalamu(wizara ya afya) au lile la kisiasa(lukuvi)
  kati ya hawa mawaziri wawili ni yupi mwenye cheo zaidi?
   
 18. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Babu ni mchungaji na si mshirikina,Hivyo dawa yake ipo kiupako na sio ya kishirikina na kama Lukuvi anamfagilia babu basi anaukubali upako na ni safi
   
 19. S

  Striker Member

  #19
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Babu wa Loliondo ni mshirikina kama shehe Yahya.
   
 20. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wewe utakua umetumwa,wanaojua magonjwa hawasemi,,au haujawai ugua au kuuguliwa ndo mana
   
Loading...