Mzazi na mlezi unakumbushwa kumleta mwanao aliefaulu tuition ya pre form five . itaanza jumatatu kona ya bwiru baptist sec mwanza . walimu n mwl Mkandawille 07421610. Dr wazi 0758704781 eng Elisha 0755927668. Combie zitakazo fundishwa ni PCB PCM NA CBG. Angalia video za Dr wazi akifundisha