Mm ilishanikutaga iyo zamani sana kipind icho ndo nimemaliza 4m 4 nasubir matokeo nikaendaga kwa kaka yangu alafu ni ameokoka,,,,cku yupo church mm kama kawaida nikatupia mzgo wa xx kwa dec,,ndan ya dkk kama 10 umeme ukakata,,nikasubir mpaka dkk 30nzima haujarud,alafu ndo mida yake ya kurudi,,, ila nilisolve na bisibisi nilifunguaga dec faster nikaitoa cd...