Mtwara funika bovu ni zaidi ya kinjekitile, unawakumbusha makovu walopigwa rungu bure, midundo siya bongofleva ama mipasho ya aisha, haikusubir kesho risasi zikaacha kasha..
Mtwara funika bovu ni zaidi ya kinjekitile, unawakumbusha makovu walopigwa rungu bure, midundo siya bongofleva ama mipasho ya aisha, haikusubir kesho risasi zikaacha kasha..
Polisi walishindwa, front wakasonga wanajeshi nyumba 1 bada 1 alitolewa mmoja mmoja, ilikuwa kesi ilikuwa kisa gesi ilikuwa kweli sio tetesi, ilikuwa bomb bada bomb machozi jicho upepesi ndani ya mtwara, tatizo ni siasa uchwara ndo mana serikali ilipiga bonge la mkwara kisa wanataka kukwala mapene wanene waheme waseme wateme hata siogopi, waniache niseme...!.