Mkakati wa siri wa mh Bernad Membe

Mkakati wa siri wa mh Bernad Membe

Status
Not open for further replies.

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
wadau!!
Kuna habar ambazo si rasmi kuwa wazir Bernad Membe ameamuwa sasa kujitosa kwa gharama yeyote au njia halali au haramu kuhakikisha kuwa anakuwa rais wa tz baada ya jk.
Habar zilizopo nikwamba anatumia watu mbalimbli kuwashawishi viongoz wa dini ili kumuunga mkono katika harakati hizo,vyanzo vya habar vinaendelea kusema ameona ndio mlango wa kipekee wa kutokea baada ya kujaribu kila njia na kuona hakubaliki.
Watu hao anawatumia inasemekana wamekuwa na wakati mgumu kwasabu viongozi wa dini wamekuwa hawaonyeshi ushirikiano kwan wamelalamika kwamba membe ndiye aliyemtuma makonda kuitisha mkutano na waandishi na kuwatukana viongoz wa dini,viongoz hao wa dini wameonyesha kutokubaliana na mkakati huo,na wameonya kamwe wasitumike kisiasa na wameshatowa onyo kuwa mvua inyeshe jua liwake hawako tayari kufnya hiyo kazi
 
Chama hakiwezi tena kuandaa mgombea wake kila mtu ashika lake.
 
Kwa hawa watu ni Uraisi kwanza Tanzania baadae.
 
Kumbe ndo maana hata amepungua sana na ndio hivi kila anachokipanga hakifanikiwi
 
wadau!!
Kuna habar ambazo si rasmi kuwa wazir Bernad Membe ameamuwa sasa kujitosa kwa gharama yeyote au njia halali au haramu kuhakikisha kuwa anakuwa rais wa tz baada ya jk.
Habar zilizopo nikwamba anatumia watu mbalimbli kuwashawishi viongoz wa dini ili kumuunga mkono katika harakati hizo,vyanzo vya habar vinaendelea kusema ameona ndio mlango wa kipekee wa kutokea baada ya kujaribu kila njia na kuona hakubaliki.
Watu hao anawatumia inasemekana wamekuwa na wakati mgumu kwasabu viongozi wa dini wamekuwa hawaonyeshi ushirikiano kwan wamelalamika kwamba membe ndiye aliyemtuma makonda kuitisha mkutano na waandishi na kuwatukana viongoz wa dini,viongoz hao wa dini wameonyesha kutokubaliana na mkakati huo,na wameonya kamwe wasitumike kisiasa na wameshatowa onyo kuwa mvua inyeshe jua liwake hawako tayari kufnya hiyo kazi

msha tandikwa za uso, mkajipange tu upya mje kivingine... vipi harambee mwanza? makusanyo yamefikia ngapi?
 
1392549795582.jpg
 
msha tandikwa za uso, mkajipange tu upya mje kivingine... vipi harambee mwanza? makusanyo yamefikia ngapi?

hujasikia membe ana hali mbaya,anajaribu kusimama kwa miguu ya mama salma baada ya kuona lowassa anakata mbuga mbaya
 
wadau!!
Kuna habar ambazo si rasmi kuwa wazir Bernad Membe ameamuwa sasa kujitosa kwa gharama yeyote au njia halali au haramu kuhakikisha kuwa anakuwa rais wa tz baada ya jk.
Habar zilizopo nikwamba anatumia watu mbalimbli kuwashawishi viongoz wa dini ili kumuunga mkono katika harakati hizo,vyanzo vya habar vinaendelea kusema ameona ndio mlango wa kipekee wa kutokea baada ya kujaribu kila njia na kuona hakubaliki.
Watu hao anawatumia inasemekana wamekuwa na wakati mgumu kwasabu viongozi wa dini wamekuwa hawaonyeshi ushirikiano kwan wamelalamika kwamba membe ndiye aliyemtuma makonda kuitisha mkutano na waandishi na kuwatukana viongoz wa dini,viongoz hao wa dini wameonyesha kutokubaliana na mkakati huo,na wameonya kamwe wasitumike kisiasa na wameshatowa onyo kuwa mvua inyeshe jua liwake hawako tayari kufnya hiyo kazi
Hayo maneno ndo keywords kwenye mada yako.'Inasemekana' pia na wewe unampigia membe chinichini!
 
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa katika maelezo yake yoote nimejikuta nikipata ujumbe mmoja tu! Anamsafishia njia mamvi kwa kuuonyesha umma kuwa Membe hakubali!

hili liko waz haliitaji kisomo kujuwa kama membe analubalika au hakubaliki,hata mtoto mdogo anajuwa membe ni janga la kitaifa anatumia kofia ya ikulu kuwa rais
 
Mkuu kiloriti naona na wewe upo kazini kumpigia ndogo ndogo Yule mwamba wa kaskazini EL

Naona unampenda EL kweli kweli hadi unamwona kila mtu yupo kazini kama nyinyi na first .....wenu kumnadi memb..kila kona ingawa hakubaliki uraiani ila hatushangai wewe kumtaja hata kama unamchukia utamtaja tu, anamvuto kwa jamii.
 
Last edited by a moderator:
wadau!!
Kuna habar ambazo si rasmi kuwa wazir Bernad Membe ameamuwa sasa kujitosa kwa gharama yeyote au njia halali au haramu kuhakikisha kuwa anakuwa rais wa tz baada ya jk.
Habar zilizopo nikwamba anatumia watu mbalimbli kuwashawishi viongoz wa dini ili kumuunga mkono katika harakati hizo,vyanzo vya habar vinaendelea kusema ameona ndio mlango wa kipekee wa kutokea baada ya kujaribu kila njia na kuona hakubaliki.
Watu hao anawatumia inasemekana wamekuwa na wakati mgumu kwasabu viongozi wa dini wamekuwa hawaonyeshi ushirikiano kwan wamelalamika kwamba membe ndiye aliyemtuma makonda kuitisha mkutano na waandishi na kuwatukana viongoz wa dini,viongoz hao wa dini wameonyesha kutokubaliana na mkakati huo,na wameonya kamwe wasitumike kisiasa na wameshatowa onyo kuwa mvua inyeshe jua liwake hawako tayari kufnya hiyo kazi

Wote 2 wamekuwa wanatumia kanisa na viongozi wa dini . Membe kwa muda sana amekuwa akimtumia Malecela kuwarubuni viongozi wa Kanisa katoliki . Kingunge amekuwa akitumiwa na Lowasa na yeye ni pro Lowasa hadi sasa .
 
kuutaka urais si dhambi,wacha naye Membe ajaribu karata yake,si ndio demokrasia
 
Hahaha yule hata haiba ya uongozi yana atamaliza pesa zake bure...rais ni january makamba tu vijana tutamsapot tu
 
wadau!!
Kuna habar ambazo si rasmi kuwa wazir Bernad Membe ameamuwa sasa kujitosa kwa gharama yeyote au njia halali au haramu kuhakikisha kuwa anakuwa rais wa tz baada ya jk.
Habar zilizopo nikwamba anatumia watu mbalimbli kuwashawishi viongoz wa dini ili kumuunga mkono katika harakati hizo,vyanzo vya habar vinaendelea kusema ameona ndio mlango wa kipekee wa kutokea baada ya kujaribu kila njia na kuona hakubaliki.
Watu hao anawatumia inasemekana wamekuwa na wakati mgumu kwasabu viongozi wa dini wamekuwa hawaonyeshi ushirikiano kwan wamelalamika kwamba membe ndiye aliyemtuma makonda kuitisha mkutano na waandishi na kuwatukana viongoz wa dini,viongoz hao wa dini wameonyesha kutokubaliana na mkakati huo,na wameonya kamwe wasitumike kisiasa na wameshatowa onyo kuwa mvua inyeshe jua liwake hawako tayari kufnya hiyo kazi
Kwani atakua na tofauti gani na wengine wanachofanya including your boss?

you guys need to fight for the position and not agaist each other... Mnajichafua tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom