Mkakati wa ndugu lowasa kwa wanafunzi vyuoni

Mkakati wa ndugu lowasa kwa wanafunzi vyuoni

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
92
Reaction score
22
Kuna mkakati umeandaliwa na kambi ya bwana edward dhidi ya wanafunzi wa elimu ya juu VYUONI.
Mkakati huo ni kuandaa vikundi maalumu kwa ajiri ya kuteka kundi la wanafunzi vyuoni.
Kwa vyovyotr vile hapa pesa ita tumika.
My take kwa wana funzi wa vyuo, nyie ni wasomi mna tegemewa na nchi yetu, chonde msi rubuniwe kwa visenti.
Source: mimi mwenyewe.
Asikari mfukunyuku.
 
Nawashauri hakuna kuacha hela... Hizo fedha zikija wachukue maana ni fedha zetu,,, lakini watambue kuwa mabadiliko ya nchi hii yanawahitaji wao... So chukua fedha lakini simama upande wa mabadiliko hapo utakuwa umeitendea haki elimu yako
 
Mkuu na mimi ndio lengo langu hilo.
Wasikubali wanunuliwe...pesa kula...fanya maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom