Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

Huyo Major si ndio tunaambiwa kwenye report ya cag kuwa kaenda kwa farao kununua dawa za bil 10. Hapo hawezi kukosa bil 5. Takukuru huyo meja achunguzwe, msd ni shirika la umma sio la kijeshi, alienda kwa mafarao kwa mchakato gani wa manunuzi.
Alisafiri kwenda kununua au?
 
Hivi nyie mnaosema sheria inashida;

Tuambie sheria inashida gani? Ummy alisema sheria haina shida

Mimi naamini sheria haina shida ,
Mlolongo wa ununuzi wa dawa za umma ni mbovu. Sheria ndio inayosimamia huo mlolongo, kwa hiyo sheria ni mbovu.
 
Aliua mwinyi, nyerere alivianzisha fukua historia vizuri, mwinyi hakuchukua taadhari ya kulinda viwanda vya ndani aliporuhusu free market ruksa, na misamaha mingi ya Kodi bidhaa za nje
Mkuu hao wa Nyerere si ndio waliua mashirika, viwanda na makampuni ya umma, au ni wengine?
 
Mr MSD hainunui na kusambaza dawa pekee, inazalisha pia baadhi ya dawa na vifaa tiba lakin pia quantification data hata kama zinatokea hospitali MSD ina jukumu la kufanya makadilio ya mahitaji ya dawa ili kujua inunue kias gan na kuzalisha kias gan sasa kama inakosa waataalam wa kutosha wa kufanya quantification na mwshowe dawa zina expire apo alaumiwe nan mkuu na kingine kwenye mitaala ya kada ya famasia wanafundishwa pia supply chain management ya pharmaceuticals products na ndio mana hapa Tanzania angalia big vendors wahindi mfano au private companies wengne ambao wana import dawa kuanzia kwenye procurement to supply unakuta ni mfamasia ndo anahusika pale, sio hapo tu mpka kwenye marketing wa dawa zao ni pharmacist sasa sijajua kwann serikali haikuliona hili kwann hawa importers wengne wako successiful zaid kwenye biashara ya dawa kuliko serikali yenyewe ilhali MSD ndo primary vendor wa dawa hospitalin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…