Mkakati makini kuelekea 25 oktoba, 2015

Mkakati makini kuelekea 25 oktoba, 2015

KILIVITE

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
1,302
Reaction score
556
Usiyumbishwe na kubabaishwa na waandamanaji feki wa UKAWA,matusi na kejeli,wanaochana picha na mabango ya Wana UKAWA.Watachana picha na mabango lakini kamwe hawatachana taswira za makamanda wetu walio tayari kukabiliana na ujinga,maradhi,umaskini na rushwa zilizopo katika mbongo zetu...Andaa kadi yako,andaa peni yako,piga kura yako na linda kura yako!!Chagua Lowassa,chagua Ukawa!
 
  • Thanks
Reactions: ERO
Ukawa ndiyo jibu la watanzania ccm ni mbwembwe tu. Lowasa mabadiliko ,mabadiliko lowasa
 
Nipo tayari sera nimezisikia miaka dahari dahari kwa sasa ni LOWASA TU.
 
Back
Top Bottom