GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,722
MAXENCE MELLO over 80
MmmhhWe ushaolewa mbebez wa nini lakini Wit? Mimi ndo singo gel kama una kaka ako huku ana vigezo niwekw nipate mbebez na mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndo mambo sasa...Kuna kaka angu mmoja single ngoja ntakushtua weekend moja niwakutanishe...naona mnaendana sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
TOPIC CLOSED
Mimi kama mpenzi mtazamaji naomba unikadirieSema hakyaMungu
Uzuri wa fake ID bana unaweza kumchimba beat mzee wako na akakuambia samahani mkuu!

30-35
Mh mjumbe