ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Mkaa wa barabarani unaisha mapema.miti inayokatwa mkaa ni mapupu. Pia wauzaji wanaweka chenga nyingi.Sijaelewa unavyosema unaisha mapema na chenga nyingi mkuu...
Mkaa wa barabarani unaisha mapema.miti inayokatwa mkaa ni mapupu. Pia wauzaji wanaweka chenga nyingi.Sijaelewa unavyosema unaisha mapema na chenga nyingi mkuu...
Katika kuweka katika jiko inabidi uuvunje je unapovunja uvunjikaji wake unaridhisha picha tumeona ila bado haziridhishi ni vizuri ungeandaa demo ya video ili ifanye kwa vitendo hatua kwa hatua ili kuepusha haya maswali mkuu ambayo yanajibika kwa video mkuu na kwa urahisi zaidiMkaa wa barabarani unaisha mapema.miti inayokatwa mkaa ni mapupu. Pia wauzaji wanaweka chenga nyingi.
Nauhitaji BT Niko mkoani vipi hamna mawakala?Gunia kama hill roughly lina uzito wa Kg 70 na bei huwa +- 70,000.00
Kwa Mkaa wa kisasa, tutakuuzia kg 70 kwa sh 38,500
Karibuni, Mkaa ni mzuri hautoi moshi, hautoi Chechen, unawaka muda mrefu.
Tumeanza uzalishaji muda si mrefu..kwasasa tunasajili agents mikoani...uko mkoa upi?Nauhitaji BT Niko mkoani vipi hamna mawakala?
Bei ya rejareja ni sh 800 kwa kg..uko sehemugani??Nikihitaji wa kupikia nyumbani kwangu mnauzaje kwa being ya rejareja?
Habari...Mbezi Msakuzi iko mbezi Luis ukifika kituo cha mbezi mwisho (baada ya kimara) umachukua magari ya kwenda MsakuziHivi mbezi msakuzi ni wapi nipitie kufanya wa majaribio
Nilete mrejesho
Katika kuweka katika jiko inabidi uuvunje je unapovunja uvunjikaji wake unaridhisha picha tumeona ila bado haziridhishi ni vizuri ungeandaa demo ya video ili ifanye kwa vitendo hatua kwa hatua ili kuepusha haya maswali mkuu ambayo yanajibika kwa video mkuu na kwa urahisi zaidi
Nipo goba mpakaniBei ya rejareja ni sh 800 kwa kg..uko sehemugani??
Nilisahau mkuu ndiyo kwa Mzazi wangu huko,Habari...Mbezi Msakuzi iko mbezi Luis ukifika kituo cha mbezi mwisho (baada ya kimara) umachukua magari ya kwenda Msakuzi
Hata wakijiua ila si kaz nyepesi namna hiyo, je yeye kiwanda chake kinaweza kutosheleza mji mzima ??!Maswali mazuri sana hayo atusaidie mkuu, kuhusu video tuone vile unawaka...
Pia kuhusu vile unaotengenezwa, kuhusu materials na vitu kama hivyo, hapa nahisi jamaa anaweza kuwa na hofu kidogo labda watu watachukua na kufanya wao lakini dunia ya sasa watu wapo kasi kujua ni kujiridhisha then mtu ajiridhishe na kuiamin bidhaa kuwa itakuwa imala.
Naona mapande ni makubwa sana.Unaonaje sazi ikawa ndogo zaidi kurahisisha upakiaji kwenye magunia ?Habari wana JF wenzangu...napenda kuwajulisha kuwa tumefungua kiwanda cha kutengeneza mkaa wa kisasa kilichopo Mbezi Msakuzi...
Mkaa huu (Jina Mkaa Maridadi) ni bei rahisi, unadumu kwa muda mrefu zaidi, hautoi moshi wala cheche na ni rafiki kwa mazingira. Mkaa huu unatumika kwa matumizi ya nyumbani, hotelini/migahawa na kwa wafugaji wa kuku/vifaranga.
Kwa wale watakaopenda kuwa agents, kuanzia gunia 10 za 25kg bei ni Sh550 per kg.
Kuanzia gunia 10 za 4kg au 15kg bei ni Sh 600 per kg.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0745000888
Au karibuni ukurasa wa insta ili kupata taarifa mpya
Karibuni sana.
Mkaa Maridadi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni kweli...ila kuna size na shapes tofauti ukitaka kuanzia mkaa mkubwa hadi mdogo inategemea na matumizi...Naona mapande ni makubwa sana.Unaonaje sazi ikawa ndogo zaidi kurahisisha upakiaji kwenye magunia ?
Kwasasa hatuwezi kutosheleza demand ya mji mzima...hayo ni matazamio yetu ya baadaeHata wakijiua ila si kaz nyepesi namna hiyo, je yeye kiwanda chake kinaweza kutosheleza mji mzima ??!
Je bei ya jumla kg ni bei gani??Bei ya rejareja ni sh 800 kwa kg..uko sehemugani??
Kwa bei ya jumla (gunia 10 kwenda mbele) ninauza sh 13,750 kwa gunia la 25 kg...
Sh 2,400 kwa gunia la 4kg na sh 9000 kwa gunia la 15kg. Karibu sana
kua uyaone gunia la kilo 4?