mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,119 Reaction score 1,617 Jun 3, 2018 #21 Jembekillo said: kibali kinahitajika kwenye kusafirisha mkaa tu sio kwenye kuuza. ukishafika mjini huo ni halali unauzwa tu bila kibali. *kibari=kibali Click to expand... Sawa kibali asante kwa kunisahihisha Ndyo kama mimi nipo mkoani unanileteaje bila kuwa na kibali? always am happy but i miss my mama
Jembekillo said: kibali kinahitajika kwenye kusafirisha mkaa tu sio kwenye kuuza. ukishafika mjini huo ni halali unauzwa tu bila kibali. *kibari=kibali Click to expand... Sawa kibali asante kwa kunisahihisha Ndyo kama mimi nipo mkoani unanileteaje bila kuwa na kibali? always am happy but i miss my mama
mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,119 Reaction score 1,617 Jun 3, 2018 #22 nimbagonza said: Ndiyo Click to expand... Sawa always am happy but i miss my mama
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Jun 3, 2018 #23 nimbagonza said: Hatufanani mkuu,kila mtu ana style yake kulingana na kipato chake boss Click to expand... Sawa mkuu
nimbagonza said: Hatufanani mkuu,kila mtu ana style yake kulingana na kipato chake boss Click to expand... Sawa mkuu
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Jun 5, 2018 #24 nimbagonza said: Habari wakuu,nauza mkaa gunia elfu 40,mkaa safi kabisa wa porini nauza bei ya jumla hata kwa gunia moja.Karibuni sana niko!!! Kama unahitaji njoo dm tuyajenge. Click to expand... Unauzia wapi? au huduma mpaka mlangoni?
nimbagonza said: Habari wakuu,nauza mkaa gunia elfu 40,mkaa safi kabisa wa porini nauza bei ya jumla hata kwa gunia moja.Karibuni sana niko!!! Kama unahitaji njoo dm tuyajenge. Click to expand... Unauzia wapi? au huduma mpaka mlangoni?