Mkaa unahitaji please MSAADA PLEASE.

Mkaa unahitaji please MSAADA PLEASE.

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Wana wa Taifa la Mungu,
Naomba kama Kuna Truck Driver anayekuja Arusha kutoka Dar, Morogoro Au Tanga naomba aniwekee hapo gunia Moja please .Ni msaada naomba please. .
Asante sana Taifa la mungu,
 
Kama wewe ni HE unatakaje Mkaa wa bure,au sio ridhiki,yaani mtu akununulie Mkaa,akupakilie kwenye Lori lake kisha aje kukushushia bure?
Wewe utampa nini?
Be serious aisee!!
 
Nicheki pm mzee nijue unapokeaje huo mkaa wako nshaunuua nipo tanga hapa....
 
Kama wewe ni HE unatakaje Mkaa wa bure,au sio ridhiki,yaani mtu akununulie Mkaa,akupakilie kwenye Lori lake kisha aje kukushushia bure?
Wewe utampa nini?
Be serious aisee!!
Mkuu hujanielewa Nampa hela mkuu ,sio bure .kama amenunua 20000 Nampa hapo 5000 ya vocher kamanda
 
Hapo sawa bro!
Nilidhani unataka free,aisee madereva wa malori msaidieni huyu ndugu yetu Mkaa,hataki Mkaa wa Arusha ambao ni ghali kwake!!
 
Wana wa Taifa la Mungu,
Naomba kama Kuna Truck Driver anayekuja Arusha kutoka Dar, Morogoro Au Tanga naomba aniwekee hapo gunia Moja please .Ni msaada naomba please. .
Asante sana Taifa la mungu,
Hapa kibaha tunazalisha mkaa mbadala,usiohitaji kukata miti.piga 0713-039875 kuweka oda
 
Wana wa Taifa la Mungu,
Naomba kama Kuna Truck Driver anayekuja Arusha kutoka Dar, Morogoro Au Tanga naomba aniwekee hapo gunia Moja please .Ni msaada naomba please. .
Asante sana Taifa la mungu,

Taifa la Mungu..
 
Back
Top Bottom