msaada jinsi ya kuunganisha emmanuel tv. ...... nina decoder ya azam....but haina hiyo chanel startimes haikamati haya mazingira niliyopo nifanyaje jamani msaada wenu wadau

mkuu startimes sasa wanatumia dish so kote tz nzima utawapata bila shida yoyote
Mkuu wana dish startimes sasa? Sasa ukitaka dish tuu sh. Ngapi asee? Na wapi yapatikana kwa hapa dsm? Thanks