Nakazia kusema kua umeibiwa.
Flash za hivyo hua zina idadi fulani ya mb ikizidi haiwezi kuplay hicho kitu. Nyingi ni zile unanunua kwenye mataa au bar au KKoo unaulizwa unataka ya kawaida au original.
Kama unahisi tunakudanganya na uko tayari kubahatisha. Tafuta waya wa OTG uwe na simu yenye uwezo.
Mfano Tecno j8 kupanda juu, Tecno c5 kupanda juu au tecno h6.
Chomeka flash kwenye otg kisha chomeka OTG kwenye simu. Iformat flash ikikubali kufanya kazi bahati yako