Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Maazimio ya BARAZA KUU yalikuwa:
1. Katiba Mpya
2. Tume Huru
3. Bunge live
4. Haki ya kikatiba ya kuishi (Ben Saanane)
5.Haki ya kikatiba ya kukutana na kuzunguma (Mikutano ya HADHARA ya kisiasa)
Hayo ndio yatahubiriwa katika Oparesheni Ukuta,
Baraza kuu limeridhia kwa kauli moja kwamba VITA rasmi ya kulikomboa taifa imezinduliwa, Na kama wewe Mtanzania unaogopa kulitetea taifa hili ni bora ukakaa kando, nenda huko ccm ambako michemsho na supu vipo kwa wingi....
Kufa kwetu ni ukombozi wa Tanzania...
Yaani sasa tunarejesha siasa za jino kwa jino uso kwa uso mguu kwa mguu, weka mguu ni weke ugoko...
Ni mwisho kuishi kinyonge, ni mwisho kulalamika, ni mwisho watu wetu kutekwa au kuuawa, ni mwisho watu wetu kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara...
Tunasema sasa ni single touch double manifestations!