Mjumbe wa NEC ya CCM: Nimekuwa kimya kwa muda mrefu sana juu ya rafiki yangu Paul Makonda

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Hapa sikutaka kumzungumzia kabisa Makonda hata nilipokuwa Dodoma kwenye mkutano baadhi ya marafiki tuliosoma nae ushirika tulijadili na kuona chama kinamlea vibaya sana.

Leo nimeona video ikimuonyesha akivamia ofisi za clouds Tv hili jambo ni gumu sana sana Mhe. Rais aliangalie kwa kina sana la sivyo linaendelea kutuchafua sana, ukitazama mitandao ya kijamii utaona tunavyotukanywa na mtu anayeonekana mbaya ni Rais wangu.

Nemeona mandiko baadhi ya makada wenzangu wabunge na hata mawaziri wakishanga jambo hili, mimi binafsi nimeshindwa kuvumilia namuomba Rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm amuondoe Poul Makonda kwenye nafasi hii ya mkuu wa mkoa kuendelea kumwacha ni kukichafua chama chetu.

Makonda Ondoka Mwanyewe kaka yangu na rafiki yangu ondoka mwenyewe kuendelea kubaki ni kuifanya ofisi ya Rais inapoteza dira yake na mwelekeo.

ni mimi

Meijo Laizer
Mjumbe wa NEC TAIFA
Wilaya ya Siha
 
Mwanahabari Huru unayemsemea ni Mjumbe wa NEC CCM, kwa hadhi yake hiyo hawezi kumtumia mtu, tena msemaji wa CHADEMA, kuyasema hayo. Hafai kuwa mjumbe kwa kuwa CCM huzungumza mambo yote kwenye vikao na si vinginevyo
Kwani wewe hujui kila mtu ni kambale huko ccm sikuhizi utaanza kuongelea wapi kama mtu alikwenda kumtembelea mtu magereza akaitwa msaliti kimekua chama au genge flani hili
 
Hapa sikutaka kumzungumzia kabisa Makonda hata nilipokuwa Dodoma kwenye mkutano baadhi ya marafiki tuliosoma nae ushirika tulijadili na kuona chama kinamlea vibaya sana.

Leo nimeona video ikimuonyesha akivamia ofisi za clouds Tv hili jambo ni gumu sana sana Mhe. Rais aliangalie kwa kina sana la sivyo linaendelea kutuchafua sana, ukitazama mitandao ya kijamii utaona tunavyotukanywa na mtu anayeonekana mbaya ni Rais wangu.

Nemeona mandiko baadhi ya makada wenzangu wabunge na hata mawaziri wakishanga jambo hili, mimi binafsi nimeshindwa kuvumilia namuomba Rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm amuondoe Poul Makonda kwenye nafasi hii ya mkuu wa mkoa kuendelea kumwacha ni kukichafua chama chetu.

Makonda Ondoka Mwanyewe kaka yangu na rafiki yangu ondoka mwenyewe kuendelea kubaki ni kuifanya ofisi ya Rais inapoteza dira yake na mwelekeo.

ni mimi

Meijo Laizer
Mjumbe wa NEC TAIFA
Wilaya ya Siha
Rubbish, toa solution, ngonjera za "baba ondoka baba" sinatosha. Sema nini kifanyike na umeshaona rais wako hatamwajibisha, hilo unalijua
 
Akiondoka usalama wake vipi?, maana hapo ndpo mtihani ulipo....atakufa presha maana hawezi hata kwenda nje kuishi...watu watatoboa nepi nchi za nje ili akamatwe kwa jina la Daud. Mwacheni maana aking'oka hali itakuwa mbaya zaidi kwake....asamehewe tu. Ila kazi ipo
 
Mwanahabari Huru unayemsemea ni Mjumbe wa NEC CCM, kwa hadhi yake hiyo hawezi kumtumia mtu, tena msemaji wa CHADEMA, kuyasema hayo. Hafai kuwa mjumbe kwa kuwa CCM huzungumza mambo yote kwenye vikao na si vinginevyo
Huo ndo ukomo wa akili yako???
 
Hapa sikutaka kumzungumzia kabisa Makonda hata nilipokuwa Dodoma kwenye mkutano baadhi ya marafiki tuliosoma nae ushirika tulijadili na kuona chama kinamlea vibaya sana.

Leo nimeona video ikimuonyesha akivamia ofisi za clouds Tv hili jambo ni gumu sana sana Mhe. Rais aliangalie kwa kina sana la sivyo linaendelea kutuchafua sana, ukitazama mitandao ya kijamii utaona tunavyotukanywa na mtu anayeonekana mbaya ni Rais wangu.

Nemeona mandiko baadhi ya makada wenzangu wabunge na hata mawaziri wakishanga jambo hili, mimi binafsi nimeshindwa kuvumilia namuomba Rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm amuondoe Poul Makonda kwenye nafasi hii ya mkuu wa mkoa kuendelea kumwacha ni kukichafua chama chetu.

Makonda Ondoka Mwanyewe kaka yangu na rafiki yangu ondoka mwenyewe kuendelea kubaki ni kuifanya ofisi ya Rais inapoteza dira yake na mwelekeo.

ni mimi

Meijo Laizer
Mjumbe wa NEC TAIFA
Wilaya ya Siha

Msema kweli mpenzi WA Mungu!
 
Kwa maoni yangu hili si la kusubiri hadi 2020 huyu ni wa kutumbuliwa sasa lakini ndiyo hivyo tena tuna katiba yenye udhaifu mkubwa sana inapokuja kwenye kumuwajibisha Rais kwa matendo yake ambayo hayastahili yeye kuendelea kuwepo madarakani.

Mwisho wa siku kitafahamika lakini waelewe hili limeipotezea sana dira CCM, 2020 sio mbali.
 
Kwa maoni yangu hili si la kusubiri hadi 2020 huyu ni wa kutumbuliwa sasa lakini ndiyo hivyo tena tuna katiba yenye udhaifu mkubwa sana inapokuja kwenye kumuwajibisha Rais kwa matendo yake ambayo hayastahili yeye kuendelea kuwepo madarakani.
Mkuu the damage has already bn done, wamtumbue wasimtumbue hatuna Imani ya kuwakabidhi tena serikali 2020. Si aliona mwenyewe walivyopata shida kutushawishi kuichagua CCM 2015.
 
kesi ya madawa inayomhusu gwajima mahakama imeshamwachia huru gwajima? mimi yote yanayoendelea najua ni reflection ya ule ushujaa wa mkuu wa mkoa wa dar aliouonyesha katika kupambana na madawa ya kulevya. na genge la wauza unga siyo la mchezo kama linaweza kuzima cctv camera za international airport wanamshindwaje makonda. ila tuongee yote lakini tuwatazame mateja na tuwahurumie sana kama makonda akishindwa tutapoteza vijana wengi sana
 
Back
Top Bottom