msingwa
Member
- Sep 27, 2013
- 67
- 31
Wakuu nimeamini kuwa akiingia hata mjumbe mmoja kwenye serekali ya kijiji anatosha kabisa kuwanyoosha maccm, mjumbe waserikali ya kijiji cha Tanganyika kata ya Tanganyika wilaya ya Muheza kupitia CHADEMA bwana Michae Mhina Mguhi ameweza kuibua ufisadi uliofanywa na mwenyekiti pamoja na mtendaji wa kijiji uliotia hasara kijiji kiasa cha shilingi milioni kumi na tisa,
Baada ya mjadala huo kuanzisha kwenye kikao walimzidi kwa wingi wao lakini yeye atoka nje kwenye nguvu ya umma na hatimaye wakaamua kwenda TAKUKURU na sasa wanatarajiwa kupandishwa mahakamani,
Hiyo ndiyo kazi safi ya CHADEMA ya kulinusuru Taifa hili na hawa mchwa machichiem kuanzia ngazi ya Taifa hadi kitongoji.