DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Walioko madarakani hawana msaada na sisi ndio maana tulitamani kubadilisha mfumo aingie baba levo,Kwenye kura Baba levo amaeshinda ila kilichofanyika ni wizi"
Mmoja kati ya Wajumbe waliopiga kura za maoni jana amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea jinsi gani anajiskia baada ya Baba levo kushika nafasi ya pili kwenye kura za maoni.