Hakika ccm hawana lao hapa tunakoelekea,Fua gamba Vaa Gwanda
Hongera sana Kamanda Fransis Ole Okayo.[
/QUOTE]
Hii ni mwanzo tu,kipigo cha serikali za mitaa ni salamu,ccm watenge fedha nyingi kuhonga polisi ili wawatetee!
Na ule mpango wa JWTZ kusimamia uchaguzi ili kuvuruga tumeshaupata,polisi na wanajeshi wazalendo wameapa kuwashughulikia wakala wao
Good,halafu kuna kipindi nimewahi kuwepo Tabora wanatamani sn Lema aende.
Mkuu longido ni ngome ya chadema kwa sasa, kipindi cha juzi cha uchaguzi serikali za mitaa tulitia timu Longido na kamanda Baba lisiana na mwisho wa siku tukachukua mitaa 23 kati ya mitaa 24.
CCM ina wenyewe...Karibu chama cha watu kamanda...Chadema ndio tumaini la watanzania
Amri ya 11, USIWE CCM.Mkuu wewe ni ccm?