mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
Tatizo wanasiasa wa Tanzania wa CCM ni wanafiki na siku zote hawazungumzi mambo kutoka rohoni kwao bali wanayoelekezwa na chama chao ,kwa ujumla ni watumwa wa fikra na ni makowadi pia wa wananchi , isipokuwa wchache kama Bulaya, Filikunjombe, Mzee wa Kahama Lembeli , mbunge wa Mwibara Kangi Lugora n.k.Kungekuwa na ujasiri, wabunge wa ccm kutoka bara, wangechukua hatua kali ya kutetea taifa letu la asili liitwalo tanganyika. Lakini woga, maslahi binafsi vimetawala kwenye vichwa vyao. Wangekuwa kama kina kessy angalau 100 hivi ingependeza sana!
hawaamini kinachotokea
ni kama ujenzi wa mnala gani ule ambao kulikuwa na lugha gongana na hiyo ilitokana na kukiuka maagizo ya Mungu. hili ndio tunaloliona sasa baada ya waoemu kukiuka maagizo ya mwananchi. tutaona mengi
Atoke bungeni basi
Kweli kabisa, halafu ni mawazo yake lakini hayawezi kubadili msimamo wa chama chake, kama ambavyo kuna wsbunge wa UKAWA wenye mawazo tofauti ns misimamo ya vyama vyaoMimi namsifu kwackufikisha mawazo yake lakini akiwa ndani ya kikao. Na kile alichokiongopa akakubali kukifuta sasa ukawa wehu maana walitakiwa wawemo ili tuwasikie