Mjukuu wa ufisadi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjukuu wa ufisadi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eiyer, Jun 16, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa najiuliza sana,uhalali wa kampuni ya symbion ni upi?Kama tanesco walizuiwa kununua mitambo ya kampuni hewa ya dowans mitambo iliyokuwa inajulikana kuwa ni ya Richmond kwa gharama ya bil 70,inakuwaje tanesco pamoja na serikali kukubali kuuziwa umeme kwa kiinimacho cha kampuni ile ile yenye jina jingine?Au kwakuwa symbion ni ya wamarekani imekuwa halali?Wako wapi mitume kumi na wawili walioizuia serikali kununua mitambo hii ambayo ingetuuzia watumiaji kwa bei nafuu!Wakowapi waliojiita maadui wa ufisadi?Au wanaiogopa Marekani?Au wamepewa 10%?Nashindwa kuelewa!
   
Loading...