Na ndiyo south waisilamu wachache lakini wameandamana. Huku sasa!!! Waisilamu ni wengi kuliko manaswara lakini hakuna aliethubutu kutia neno la "maandamano" tumebakia kusikitika kwenye mitandao.
mimi nawasifu wa hapa hawajaandamana kwasababu wangeandamana wangeonekana wanafki kwasababu ISIS na Alshabab wanachinja Waislamu wenzao waafrika lakini hata tamko la kulaani hamnaNa ndiyo south waisilamu wachache lakini wameandamana. Huku sasa!!! Waisilamu ni wengi kuliko manaswara lakini hakuna aliethubutu kutia neno la "maandamano" tumebakia kusikitika kwenye mitandao.
Lengo kuu la Israel wanataka eneo lote la Palestina liunganishwe na Israel liwe Taifa moja, baadae watafute mbinu za kuwafukuza wapalestina wote na kuwaleta Wayahudi kutoka Ulaya,Amerika,Asia na Latin America kuja kuishi Israel iliyo panuka baada ya ku-annex taifa la Kipalestina.Kwani muisrael akiwaacha wapalestina atapungukiwa nini?
We jamaa Jinga na linafiki likubwa, wengi mnao pinga dhuluma ya muisrael dhid ya parestina mko kidini zaid na sio humanity kama mnavyopretend hapa..Na ndiyo south waisilamu wachache lakini wameandamana. Huku sasa!!! Waisilamu ni wengi kuliko manaswara lakini hakuna aliethubutu kutia neno la "maandamano" tumebakia kusikitika kwenye mitandao.
Usisahau na wengi wanaopinga dhuluma hiyo wapo kidini zaidi na sio humanity..Yeyote anayedhani kukemea udhalimu wa kutisha unaofanywa na Israel Taifa la wauaji dhidi ya Wapalestina ni lazima uwe muislamu ana ufinyu mkubwa wa akili.
Hawana lolote hao... Ajabu macho yao hayaoini vilivyo karibu, vya mbali wanaviona...mimi nawasifu wa hapa hawajaandamana kwasababu wangeandamana wangeonekana wanafki kwasababu ISIS na Alshabab wanachinja Waislamu wenzao waafrika lakini hata tamko la kulaani hamna
Israel Ndio anafundisha JWTZ tangia enzi za Mwalimu kima weweWafunge tu kwani Tz tuliahawahi kuwa na uhusiano wa kidiplomasia na Israel? Si JPJM ndio alifungua milango??
They won't make any different
Mmewahi kutia neno kuhusu boko haramu kuteka mabinti 300?Na ndiyo south waisilamu wachache lakini wameandamana. Huku sasa!!! Waisilamu ni wengi kuliko manaswara lakini hakuna aliethubutu kutia neno la "maandamano" tumebakia kusikitika kwenye mitandao.
Tanzania waislamu wachache Sana,usidanganyike.Na ndiyo south waisilamu wachache lakini wameandamana. Huku sasa!!! Waisilamu ni wengi kuliko manaswara lakini hakuna aliethubutu kutia neno la "maandamano" tumebakia kusikitika kwenye mitandao.
Mtoto WA Mandela ndio Nani kwani?? Mpaka israel istuke????Mjukuu wa Mandela atoa wito wa kufungwa ubalozi wa Israel nchini Afrika Kusini
May 13, 2021 13:33 UTC
[https://media]
Maelfu ya raia wa Afrika Kusini vikiwemo vyama na baadhi ya watu muhimu na mashuhuri wamefanya maandamano na kukusanyika katika maeneo mbalimbali muhimu kama mbele ya Bunge na kutoa wito wa kususiwa utawala haramu wa Israel.
Miji muhimu ya Afrika Kusini jana ilishuhudia maandamano na mikusanyiko ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina ambapo waandamanaji walitangaza pia chuki na upinzani wao wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina.
Waandamanaji mjini Cape Town walifanya maandamano na kuelekea upande wa jengo la Bunge nchini humo huku wakipiga nara za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina. Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Mandla Mandela aliyeshiriki katika maandamano hayo ametoa wito wa kufungwa ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini humo.
[https://media]Maandamano ya wananchi wa Afrika Kusini ya kuunga mkono wananchi wa Palestina
Mjukuu huyo wa Mandela amesema, licha ya Israel kuwauwa kinyama watoto wa Kipalestina lakini ulimwengu umeendelea kunyamaza kimya. Aidha amesema, wakati linapozungumziwa suala la Palestina, sisi tukiwa Waafrika Kusini tuna umoja na tunapaza sauti moja kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
Siku ya Jumanne pia, watu wasiopungua 300 walikusanyika mbele ya ubalozi wa utawala dhalimu wa Israel nchini Afrika Kusini na kutoa wito wa kususiwa utawala huo ghasibu unaoendelea kutenda mauaji kila uchao dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa Marekani na madola ya Magharibi.
View attachment 1783811View attachment 1783812
Usisahau na wengi wanaopinga dhuluma hiyo wapo kidini zaidi na sio humanity..
SAGA la jamhuri ya kati hao hao wanaopinga komenti zao zilikuwa tofauti.
Sikuchagulii upande wa kusimama, ila hii vita ipo kidini zaidi.
Haya chini ni maoni ya member mmoja anaepinga uovu wa Israeli, lakini ndani ya mapafu yake ana chuki nyingine.
View attachment 1784053