Mjue Simba

Mjue Simba

images (3).jpg
ScreenShot2267.jpg
 
images (4).jpg
 
Attachments

  • images (4).jpg
    images (4).jpg
    9.4 KB · Views: 86
namaanisha 50mph, 50K/H haiwezekani mkuu duh

Bado mimi sijapaelewa hapo, 50mph (m ni mile au mita).

Mind you 50 mita ni nusu uwanja ambapa Usain Bolt anatumia sekunde 5 tu.
 
ok sawa nimekupata mkuu na asante

ufafanuzi ni

80.5 km/h (50.0 mph) na ndiye namba mbili kwa kasi miongoni mwa wanyama
 
Okay mkuu, itabidi pale kwenye thread uedit kwa kuweka miles badala ya mita.

Asante.
 
Nimetafuta...nimekosa! hujasema kitu kuhusu simba kuwa na hirizi, ambayo tunaambiwa kabla hajala huwa anaitema, akimaliza kula anaimeza hirizi yake! Na kwamba hiyo hirizi ni dili sana kuipata!

Ha! Ha! Ha! Huyo itakuwa simba wa rufiji.
 
Nimetafuta...nimekosa! hujasema kitu kuhusu simba kuwa na hirizi, ambayo tunaambiwa kabla hajala huwa anaitema, akimaliza kula anaimeza hirizi yake! Na kwamba hiyo hirizi ni dili sana kuipata!

Tuliomo Humu JF Hatuamini UCHAWI au USHIRIKINA Wako Hivyo Tafuta KIJIWE Chako MAALUM Cha WAPENDA ULOZI Watakuunga Mkono. Yaani Katika UTAFITI Wako Wote Juu Ya Mnyama Simba Wewe ULICHOKIBOBEA Ni HIRIZI Yake Tu. Kweli Donald Trump ANASTAHILI KUTUTUKANA Na KUTUDHARAU KUNAKOTUKUKA Waafrika.
 
Hongera, umejitahidi kuelewa nilichopost! Acha CHAMA kiendelee kutawala!
 
Back
Top Bottom